Niliposikia tu Jairo kawekwa likizo ya malipo nikajua mchezo umeanza kusukwa. Hakukuwa na uchunguzi makini. Kilichofanyika ni kile wazungu wanaita "white wash," kuwanusuru Jairo na Kikwete.
Ningekuwa karbu na mtoto wa mkulima (Pinda) ningemuomba ajiuzulu!!!!!Pinda je? Alikurupuka?

Mbaya zaidi nimemsikia Luhanjo anasema kuwa Jairo, anaweza kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa jina lake.

Pia wanafanya uchunguzi kujua ni nani alimpa mbunge ile barua, na hakijulika lazima wamchukulie hatua kali za kinidhamu
Huu mchezo nakumbuka siku ya kwanza kuuona ilikuwa Mwaloni Kirumba Mwanza, uliletwa na wazaire teh teh teh!Chekundu cheusi? chekundu cheusi, chekundu cheusi? tukawaambia watu hapa toka mwanzo ni mazingaombwe haya msicheze; hawakutaka. Wakang'ang'ania ;tumekiona tumekiona' jamaa akawaambia;kama mmekiona wekeni pesa zenu; watu wakihamasishana wakaweka pesa yao. Jamaa anafunua ;cheusi;!! wameliwa.. wanalalamika.. ;ooh tulikiona kabisa, tulikiona kabisa;.. waliliwa kwa Ngeleja hawakuamini, wameliwa kwa jairo hawataki!!
Nawaangalia wachezeshewe tena mchezo wa 'chekundu cheusi chekundu cheusi;.. mkitaka kujua ni mchezo angalieni wanaowaambia 'na mimi nimekiona!!";
Wakati mwingine mtusikilize...
grrrrrr!!

kuanzia mwamzoni nlipata doubt, ni vigumu kumhukumu jairo mwenyewe. Chain ni ndefu sana. pengne hadi kwa wakubwa.

Nani wa kumtetea mtanzania???????

Nipo tayaaaaaaaaaaaaaaaaaari for any thing enough is enough its time for change
Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!