G. Activist
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 482
- 125
Huyu bwana aliwatuhumu Wabunge kwamba wao ni kama Comedians kwao!!!! Siku Shelukindo aking'aka pale mjengoni, sasa wadau mlitegemea CAG alete jibu gan?
Kama wabunge ambao sisi tumewaamini na kuwatuma wakajadili issue sensitive lakini leo wanaambiwa wanafanya Comedy, inauma kwakweli!!!
Kama wabunge ambao sisi tumewaamini na kuwatuma wakajadili issue sensitive lakini leo wanaambiwa wanafanya Comedy, inauma kwakweli!!!