Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

@Manyerere Jackton anasema "ludovic ni machine ya chadema" kwenye ile thread ya saa 1.13
Juliana Shonza anacomment kwenye youtube eti Ludovic ni machine ya chadema

Vedio ya lwakatare imerecordiwa tarehe 28.12.2012 ambayo imekuwa framed na kuwekwa jina la LUdovic

Mategemeo:

Ludovic ataojiwa na polisi na kukubali kuwa ni kweli alikuwa na lwakatare na alisema yale maneno

Huu mpango umepangwa from

CCM(Januari makamba na wasira) ----usalama wa taifa-----Police- Manyerere----Deus----Ludovic----

Naampa mbele ya Mungu kutumia resource zangu mpaka nawambia wausika wa hii kitu

I will stay alone to belieave this SHIT

DEUS, una manisha yule DEREVA wa Marehemu WANGWE ?
 
Shida zote hizi,kuua watu na kutesa,kuumiza wengine hata kwa kuwatesa kiakili na kifikra,kuumiza
nafsi za watanzania kwa kusikia habari mbay,yoooote haya chimbuko lake ni uraisi 2015.
Ni heri Mungu aingilie kati achukue maisha ya wote wanaopanga mipango hii michafu kwa ajili ya uroho
wa madaraka na kulinda ufisadi ambao tayari walishatutendea watanzania. Ameeeen'
 
Bora tutawaliwe kwa muda tuuzike uhuru wetu maana hadi sasa hatuko huru kabisa. Nani yuko huru anyooshe kidole juu. Angalia ukinyosha kidole utafuatiliwa hadi kwenu nakwambia hauko huru. Uhuru gani kila siku tunamashaka??

Hata hivyo, katika hili lililomtokea, siwezi hapa kumtetea wala kumtia hatiani. Maana, naye ni binadamu kama wengine, siwezi kusema kuwa ninamfahamu sana. Kwa vile yuko mikononi mwa vyombo vya usalama , nina imani, kuwa vyombo hivyo vitafanya kazi yake ili kutusaidia katika kupata ukweli wa jambo zima. Na kama ni kweli kwa namna yoyote ile itathibitishwa kuwa ameshiriki njama za kupanga mikakati hiyo ya kigaidi, basi, ahukumiwe kwa dhambi hiyo.

Duh maggid

Haya ndio ya Petro na Yesu nini hata Jogoo hajawika watu wameshaanza kukana.. ?

Duh nadhani ungesema tu hujui yaliyotokea bali uliyoambiwa na kuhusishwa hayo mengine ya kutokumfahamu nadhani yanaweza kutafsiriwa vingine.., sometimes elaboration nyingine zinaweza kumtupa mtu shimoni
 
Last edited by a moderator:
Ngoma inogile Mjengwa jiandae kukamatwa au jipeleke mwenyewe polisi chezea JF wewe,sipati picha ni jinsi gani polisi wanavyohangaika na JF wapate pa kuanzia.
 
yote haya yamekuja premature tu......... walipanga yaje mwakani lakini nguvu imekua kubwa
 
Kwani alishindwa kuvituma mpaka akuletee, kuna kitu alikuwa anakimbia Dar na ww Majjid inabidi uhojiwe.
Utata mwingine hapo kwenye bold, mbona tuliambiwa alipewa gari la polisi, hii teksi inaingiaje? au polisi nao walimwacha sehemu. Jamani muwe mnajipanga vizuri kwenye hizi movie zenu vinginevyo hamuwezi kumdanganya hata mtoto mdogo.
Acha ujinga kwani huko iringa umeambiwa ndo mara yake ya kwanza kwenda? Hujui umuhimu wa hivyo vitabu kwao usilopoke tu. Kwani kujificha si angeweza potea tu asijulikane alipo?
Pili, nani alikwambia polisi hawawezi kukodi taksi kumpeleka au kumrudisha mahala mtu waliyenaye?
 
Nanyi kadhalika myaonapo haya jueni kuwa ule mwisho umekaribia sana......CCM mwisho wake umekaribia.
 
Shida zote hizi,kuua watu na kutesa,kuumiza wengine hata kwa kuwatesa kiakili na kifikra,kuumiza
nafsi za watanzania kwa kusikia habari mbay,yoooote haya chimbuko lake ni uraisi 2015.
Ni heri Mungu aingilie kati achukue maisha ya wote wanaopanga mipango hii michafu kwa ajili ya uroho
wa madaraka na kulinda ufisadi ambao tayari walishatutendea watanzania. Ameeeen'
Hakika REMSA, Muumba na asikie maombi yako/yetu.
 
Duh maggid

Haya ndio ya Petro na Yesu nini hata Jogoo hajawika watu wameshaanza kukana.. ?

Duh nadhani ungesema tu hujui yaliyotokea bali uliyoambiwa na kuhusishwa hayo mengine ya kutokumfahamu nadhani yanaweza kutafsiriwa vingine.., sometimes elaboration nyingine zinaweza kumtupa mtu shimoni

Hivi yupo kambi ipi vile?
Uhusiiano wake na Mheshimiwa Raisi Salma ukoje?
Uhusiiano wake na Mkuru je?
Uhusiano wake na Membe je?
 
Acha ujinga kwani huko iringa umeambiwa ndo mara yake ya kwanza kwenda? Hujui umuhimu wa hivyo vitabu kwao usilopoke tu. Kwani kujificha si angeweza potea tu asijulikane alipo?
Pili, nani alikwambia polisi hawawezi kukodi taksi kumpeleka au kumrudisha mahala mtu waliyenaye?
Heri wewe ungeficha ujinga wako, hivi huoni kama unachotetea ni upuuzi, polisi wa nchi gani walikodishia mtu tax, na wakamweka kwenye tax na kichupi chake tu, hii ipo huko kwenu labda. Vitu vingine ukitetea unaonyesha upumbavu wako, ni heri unyamaze.
 
Nina wasiwasi na uhusiano wa mjengwa na ludo maana mjengwa anajifanya kama hamjui ludo kiundani. Mjengwa sema ukweli bana
 
Mimi ninaona yafuatayo:
1. Picha imeandaliwa na TISS kwa maelekezo ya CCM ndio maana Mwigulu alijua maandalizi yake akaja na taarifa za awali za kuwa na Mkanda wa VIdeo ya CDM
2. Mjengwa, Manyerere na Ludovick ni wachezaji wa hiyo movie ambapo; Manyerere anajifanya kutoa clues za kumkamata mtuhumiwa but wanafahamiana vizuri sana na wanajua what they r doing.
3. Police na TISS wamemframe vizuri kitachofuata Ni Ludovick kukubali kuwa kweli ndiye anayetajwa ktk mkanda anyway lets wait n see
 
Katika wakati km huu ndiyo nazidi kuona pengo la mwanahalisi.

Kubenea upo wapi na kikosi chako tupate ukwel wa mambo?

Viva cdm
 
Kuna lugha aliyotumia Manyerere Jackton kwenye thread yake kabla ya hii, kushutumu Ludovick kuwa mashine ya CDM ndiyo lugha hiyo iliyotumiwa na Juliana Shonza akichangia cliP ya Bukoba Boy

very very planned

Hivi Ben Saanane yuko wapi? au kazi yake ilishakwisha? maana hiki kitimtim?.....wapi mwana Intelijensia wa Magwanda Ben?! kuna mtu alisema huku ..mkisha baini kama Ben anafanya kazi kwa niaba ya nani..then it will be too late!
 
Back
Top Bottom