Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Kuna lugha aliyotumia Manyerere Jackton kwenye thread yake kabla ya hii, kushutumu Ludovick kuwa mashine ya CDM ndiyo lugha hiyo iliyotumiwa na Juliana Shonza akichangia cliP ya Bukoba Boy

very very planned

kuna kitu hapa.... i can smell ........
wana usalama pitieni hapa pia j. shonza anajua kitu....
 
Last edited by a moderator:
Mungu mkubwa!

Habari za uhakika nilizozipata dakika kadhaa zilizopita zinasema mtuhumiwa mkuu wa utekaji na utesaji wa Kibanda, Ludovick Joseph, amekamatwa punde tu mjini Iringa.

Tulikotoka: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-siri-za-kutekwa-kibanda-hazitajulikana.html

UPDATE:

mkuu hela ya kulipa tax nani alimpa au mjengwa ulimlipia???


nukuu;akamwambia mwenziye wanisachi kama nina vitu vingine.wakanisachi na kuchukua pesa (nilikuwa na elfu 35) na simu mbili ndogo za nokia.moja yenye line mbili.kisha mmoja akatoa order nivuliwe nguo.Nikavuliwa viatu,T shirt na suruali.nikabaki na nguo za ndani pekee.wakanishusha na kuniacha hapo.
 
Naona ajira zisizo rasmi zimekuwa nyingi sana Tanzania plus tamaa ya pesa basi kazi kweli kweli. Hii post haina umakini kabisa unaongelea kesi kubwa namna hii kwa kuingiza maneno dhaifu na ya utani usiopasa kuwekwa hapa
 
Hii kitu inanukia kama waandishi wa habari wanachezeana michezo michafu,huku kukiwa na nguvu kubwa nyuma yao inasupport,hii ni hatari sana,bado naendelea kuunganisha dots.
 
Hii kitu inanukia kama waandishi wa habari wanachezeana michezo michafu,huku kukiwa na nguvu kubwa nyuma yao inasupport,hii ni hatari sana,bado naendelea kuunganisha dots hapa.
 
duh bongo kuna muvi kali lakini cjui zinaishaje! mfano ile ya ULIMBOKA NA RAMA(IGHONDU) yaan star anakufa kwenye majani
 
Manyerere Jackton anasema "ludovic ni machine ya chadema" kwenye ile thread ya saa 1.13
Juliana Shonza anacomment kwenye youtube eti Ludovic ni machine ya chadema

Vedio ya lwakatare imerecordiwa tarehe 28.12.2012 ambayo imekuwa framed na kuwekwa jina la LUdovic


Mategemeo:

Ludovic ataojiwa na polisi na kukubali kuwa ni kweli alikuwa na lwakatare na alisema yale maneno

Huu mpango umepangwa from

CCM(Januari makamba na wasira) ----usalama wa taifa-----Police- Manyerere----Deus----Ludovic----


Naampa mbele ya Mungu kutumia resource zangu mpaka nawambia wausika wa hii kitu

I will stay alone to belieave this SHIT
 
Last edited by a moderator:
Mjengwa bana! Kaanza maelezo yake vizuri kuhusu kukamatwa kwa msaidizi wake. Huko mwishoni anaingiza ushabiki wa Simba na Yanga.

Hapa inaonekana hashtushwi na tukio la kutekwa kwa Ludovick, ndio maana akapata muda wa kuona rangi ya nguo ya kumpa msaidizi wake. Mmmhhhhh!
 
Ndio Matatizo ya Vijana kuishi maisha ya Ki-Day Waka.Graduate unaagizwa kupeleka Invoice na vitabu vya List Mungu wangu ngoja nikaa kimya nisije kula Ban.Si mwalimu huyu kwa asiende kutufundishia wanetu mashuleni sirikali inasema walimu hawatoshi kumbe wapo mjini wanatumika like Mtela na wenzie.
 
Kama Ludovick ni chadema na jina lake limetokea kwenye vidio then pieces are just falling into place.
 
Naomba mods waicrop hiyo picha ili huyo dada asionekane, (dada) hana kosa lolote
Hii ingefaa iende Jf Jokes manake nimecheka aisee, eti wa crop, ha ha haaa!! Aisee kitu imeanzia Youtube Na sasa kila Mutu anayo sasa wacrop Nini ha ha haa!!
Either hukunielewa au hujui maana ya terminology 'crop' as used in photograph industry. Kwa ufupi kuna picha iliwekwa na mtu humu, lakini aliyekuwa analengwa kuonyeshwa alipiga picha akiwa na dada mmoja. Hapo ndipo nikapendekeza kuwa mods wai.crop hiyo picha (sio video) ili yule dada asiyehusika na uzi huu asionekane bila sababu. Nashangaa kusikia unasema picha imewekwa kwenye youtube (lakini mimi nimesema picha, sijasema video. Hata hapa mtaani kwetu kuna watoto wadogo huwa wanasema wanaenda kuangalia picha wakimaanisha video, labda na wewe ni kama hao watoto wa mtaani kwetu. Afterall, youtube huwa haiwi uploadloaded na picha).
Labda nikuonyeshe mfano wa ku.crop picha kwa lengo la kumuondoa mtu usiyetaka awe displayed. Angalia mfano hapa chini:

attachment.php
 
Sidhani kama hata anahusika!huyu alikumbana na yake usiku ule na Kibanda na yake!Polisi wafanye kazi yao kwa ufanisi na weredi sio kubahatisha na kubambikia!sioni dots zikiungana hapa!
 
Hapa watasombwa waliokuwapo na wasiokuwapo, ilimradi tu ionekane Polisi wanafanya kazi zao kwa umakini......tuendelee kuomba Mungu ukweli uwe wazi na haki itendeke sheria ifuate mkondo wake.
 
Mimi sio mpelelezi lakini kwa hili nataka maelezo. mtuhumiwa alisema polisi wa kigogo walimpa gari arudi nalo kwa mjengwa alipo fikia, mjengwa anasema mtuhumiwa kaletwa na taxsi. naomba ufafanuzi. mia
 
Mimi sio mpelelezi lakini kwa hili nataka maelezo. mtuhumiwa alisema polisi wa kigogo walimpa gari arudi nalo kwa mjengwa alipo fikia, mjengwa anasema mtuhumiwa kaletwa na taxsi. naomba ufafanuzi. mia

Mkuu Figganigga umenikosha hapo nami naona maelezo ni mawili na tofauti kabisa kati ya Mjengwa na huyu kijana Ludovick!,Please Mjengwa jitahidi kuja hapa utupatie ukweli wa ni jinsi gani Ludovick alikuja hapo hotelini!
 
Back
Top Bottom