Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Wewe ni mahakama hadi uthibitishe kua yule ni Lwakatare? acha vyombo husika vifanye kazi yake na sio una kuja na ma penzi ya chama na chuki dhidi ya mtu au kikundi flani.
Weka mapenzi kando tumia akili yako, yule ni Lwakatare anapanga njama za kuumiza watu wasio na hatia...Mgaidi wale hawastahili kurudu uraiani!