Edo amefunika vibaya vibaya, Huyo pinda kapotezewa mbali
Umesahau na mamillioni ya wananchi walio nyuma yake au wewe haya mafuriko huyaoni.... Pole sana, chuki huziba ufahamu
Wasipomtisha lowasa kura zote ukawa
mkuu mgombea kuuzika unamaanisha nini? maana ccm kama wana misingi yao ni vizuri wakaifuata ili kumpata mgombea mwenye sifa.
inawezakana mkuu maana jamaa anaushawishi ukijumlisha za zile shule zake za kata anazidi kupata nguvu
Vijana wote waliosoma shule za kata na wazazi wao wanatamani masia (lowasa)awe mwamuzi wao.
mkuu namaanisha mgombea atakaye kubalika na wanachi wengi na kisha kupigiwa kura nyingi kama ilivyokua kwa Kikwete,
Kwa maneno yako inaonesha wazi umesahau kuwa kuna UKAWA ambao pia wanastahili kuongoza nchi kupitia kwenye uchaguzi huu huu! Je mnaiua ukawa kimya kimya au ndio kama vile nchi ni ya ccm??
Mimi na familiya yangu na jamii inayonizunguka tunamhitaji E.L ndio awe rais wa JMT yani LOWASSA pekee ndio ataiweka ccm kwenye mstari stahiki namuaminia Edward Lowassa kwa maendeleo ya Taifa letu
Ukawa wasubiri LOWASSA aweke nchi sawa maana yy ndio anafahamu ccm na hii serikali wapi imepinda wapi inyooshwe
Mtake msitake LOWASSA pekee ndio anaweza ccm na hii nchi hata viongozi wa ukawa hili wanalitambua fika sema tu katika siasa kila mtu mshindani ila ukweli upo wazi only LOWASSA for tanzania
mkuu suala sio kukubalika. cha msingi anakubalikaje? lowasa anakubalika kwa kutenda rafu mapema kabla ya wenzake.na mtindo huu anaoutumia ndio uliotumika na jk kuingia madarakani tatizo kwa sasa hatuna ccm imara ya kuthubutu kumnyoshea mtu kidole.
Lowassa mwaka wake, na.washaisoma namba mamaeee, LOWASSA ni sheeedah
mkuu ni kweli ila napata wasiwasi sana na wengi waliojitokeza maana wamekua wakiuza sera zao kwa kuikosoa serikali iliyoko madarakani at the same time bado wamekalia viti,sasa hii inamaanisha mpaka sasa hakuna mgombea aliye kamilika asilimia mia moja ndani ya chama maana kila mmoja anamapungufu yake
LOWASSA leo amekumbana na zomea zomea mpanda
Lowassa is the people's choice
Lowassa ni kiboko aisee...... Huyu jamaa nafkiri anasubiri tu kuapishwa, walahi ashakuwa Rais