Lowassa na Pinda ndani ya Katavi kutafuta wadhamini

Lowassa na Pinda ndani ya Katavi kutafuta wadhamini

Mkuu ocampo hivi ikitokea hayo matumaini yako yote yasifike kileleni,kwa maana lowasa akashindwa kuingia kwenye 5 bora itakuwaje?

Hizo ni ndoto za abunuasi..... Kwa nini asiingie Mkuu......... Ukisoma sifa zote 13 anazo, na zaidi sifa namba 12 ambayo inamhitaji mgombea anayekubalika kwa wananchi....
 
Hizo ni ndoto za abunuasi..... Kwa nini asiingie Mkuu......... Ukisoma sifa zote 13 anazo, na zaidi sifa namba 12 ambayo inamhitaji mgombea anayekubalika kwa wananchi....

Kuna baadhi ya wanao hoji uadilifu wa mh lowasa hasa kufuatia kujiudhuru nafasi yake kama waziri mkuu,hao unawafanyaje?
 
Hana jipya na sera yake ya matangazo wapo wengine wangetumia hiyo njia ya kujitangaza yeye cha mtoto,
 
Kuna baadhi ya wanao hoji uadilifu wa mh lowasa hasa kufuatia kujiudhuru nafasi yake kama waziri mkuu,hao unawafanyaje?

hana cha kuwajibu,wengi wanaenda kumuona anavyotembea kama kinyonga na kusimama kama roboti, kuongea hajui wasikilize nini cha maana,
 
Acha ni tupie video you tube kisha niattach hapa Za PINDA
 
Lowassa ndio kiongozi pekee who is pulling the crowd not by money kama maadui zake wanavyomtangaza but by virtue of his historical track record in power and in service of this nation.
To discredit him now is too late.

History ipi na wewe mla rushwa? History ya kulikwapua taifa? Kwendeni huko.
 
Safari ya MATUMAINI, kwa dhana nyepesi inaweza onekana kama Slogan (MSEMO) tu, si tu kwa wasio wasomi bali hata kwa wasomi wenyewe, watu ambao jamii imewapa nafasi ama fursa kubwa kuzitambua na kuziainisha fursa katika jamii yao.

Mh. LOWASSA mzee wa safari ya MATUMAINI ndiye mwenye nguvu ya utendaji wa kauli mbiu hii,. Lakini kwa nini iwe safari ya MATUMAINI?, nini mantiki yake na je inasadifu uhalisia wa Mh. LOWASSA katika kuyaleta matumaini hayo?, Imeanza lini hii safari,? ni nani mhusika wa safari ya matumaini? Na maswali mengine mengi tu ya kujiuliza juu ya safari hii aliyoianzisha Mh. Lowassa.

MATUMAINI ni uhakika wa kufanya, kutimiza ama kukamilisha jambo kwa mipango iliyotukuka.

Safari ya Matumaini ni uhakika wa Mh. Lowassa wa kutaka kuwatimizia ndoto Watanzania wengi waliokata tamaa ya maisha ili kuwajengea matumaini ya maisha mapya yenye faraja na fanaka na kujiona wenye thamani katika taifa lao.

Msingi mkuu wa Matumaini ya Mh. Lowassa kwa Watanzania yanajikita katika mambo yafuatayo,

° Kujituma,
° Kusimamia
° Kutekeleza
Mambo hayo ndiyo sifa kuu za kiongozi na mwananchi katika kufanikisha Safari ya Matumaini (Ukombozi).

Matumaini ya afya bora, elimu bora yenye ushindani, huduma za maji safi, barabara zinazopitika, masoko ya mazao ya wakulima, kilomo cha kisasa n.k.

Matumaini ya ajira kwa Watanzania, ajira ajira ajira si tu ni bomu linalosubiri kulipuka bali Cancer ambayo inahitaji matibabu kwa uharaka zaidi.



"Nachoshwa na Umasikini, nchi yetu ina rasilimali za kutosha, hatupaswi kuwa masikini" by LOWASSA.

Mtetezi, mtekelezaji na msimamiaji, tumuunge mkono Edward LOWASSA.
 
Back
Top Bottom