Mangi Muitori
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 653
- 422
"kama hamtulii ninamamlaka ya kumruhusu mheshiwa aende" kwa kile ambacho hakikutegemewa ziliskika sauti zikisema " "aende tu hatumtakii" " "aende hatumtakii "Lowassa akapewa jukwaa akashukuru kwa kupata wadhamini ambao kwa asilimia kubwa wamesafirishwa na malori toka vijijini
SIJAELEWA HAPO
Weka picha basi watu wakishuka kwa lori