Lowassa na Pinda ndani ya Katavi kutafuta wadhamini

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
616
Reaction score
183
Lowassa ndani ya mpanda kutafuta wadhamini,watu wamejitokeza huku bado masaa machache aingie na baba mwenye mji Pinda, mwenyekiti mkoa wa ccm ndugu Mselemu anaongea huku magari ya matangazo ya Pinda yakizunguka mjini hapa na kuachia maneno ya kumgusa Lowassa,kwa misemo mbali mbali kama "fimbo ya mbali haiui nyoka",huku Lowassa akitanguliwa na mwenyekiti wa chama mkoa ndugu Mselemu,kwa hali isiyo ya utulivu bada ya kutoa ruksa watu wasogee karibu kumskia Lowassa akaona kero ya kelele nyingi ndipo akaamua kusema "kama hamtulii ninamamlaka ya kumruhusu mheshiwa aende" kwa kile ambacho hakikutegemewa ziliskika sauti zikisema " "aende tu hatumtakii" " "aende hatumtakii "Lowassa akapewa jukwaa akashukuru kwa kupata wadhamini ambao kwa asilimia kubwa wamesafirishwa na malori toka vijijini kama karema ambapo ndio wengi zaidi,Kwa matangazo yaliopo hapa ni kuwa Pinda anaondoka saa tisa dodoma kuja Mpanda kutafuta wadhamini......more tu follow stay in touch here!
 
Attachments

  • 1434282591075.jpg
    1434282591075.jpg
    34.5 KB · Views: 1,484
Leo katika zoezi la kutafuta wadhamini, Waziri Mkuu mstafu Edward Lowassa amekutana na mafuriko ya watu Mkoa wa Katavi wakiwa wanamsubiri kwa ajili ya kumdhamini....

Lowassa, katika mkoa huo umepata zaidi ya wadhamini 5,000....

Hii ndio safari ya Matumaini..... Jioni anatua Rukwa...
 
mkuu katumia nini shuka au mfuko?
 
Lowassa ni kiboko aisee...... Huyu jamaa nafkiri anasubiri tu kuapishwa, walahi ashakuwa Rais

wadanganye wenzako mnaokula nao zile za kifisadi lakini tunaomjua huwezi kutudanganya hata chembe.
 
Leo katika zoezi la kutafuta wadhamini, Waziri Mkuu mstafu Edward Lowassa amekutana na mafuriko ya watu Mkoa wa Katavi wakiwa wanamsubiri kwa ajili ya kumdhamini....

Lowassa, katika mkoa huo umepata zaidi ya wadhamini 5,000....

Hii ndio safari ya Matumaini..... Jioni anatua Rukwa...
huu ni uongo wa wazi mkuu, hawajapatika wadhamini hao unaosema. maana dk. 10 kabla hajafika ilibidi kuita majina ya wadhamini ili wakaweke sahihi zao ( hapa wamejenga uadui bila kujua)

pia Naomba ujibu pale boda boda walipo ambiwa kuingia ndani kuonana na lowasa walienda kupewa nini.

usisahau umati kukataa kuitikisa kibwagizo cha CCM "oyee"

pia kundi lililo mwambia hatukutaki ondoka.
 
Mkuu naomba na mimi nichangie katika hili..... Hao wadhamini wanosemwa ni kweli, nipo Katavi na tumekabidhiwa idadi hiyo...... Tafuta nyingine huna jipya
 
Weka ushahidi hapa tukuamini wa kwake uko hapo juu tumeona na tumejiridhisha, tofauti na hapo karambe ndimu, mtaelewa tu mwaka huu, simama uhesabiwe.
 
"kama hamtulii ninamamlaka ya kumruhusu mheshiwa aende" kwa kile ambacho hakikutegemewa ziliskika sauti zikisema " "aende tu hatumtakii" " "aende hatumtakii "Lowassa akapewa jukwaa akashukuru kwa kupata wadhamini ambao kwa asilimia kubwa wamesafirishwa na malori toka vijijini

SIJAELEWA HAPO
 
Mkuu naomba na mimi nichangie katika hili..... Hao wadhamini wanosemwa ni kweli, nipo Katavi na tumekabidhiwa idadi hiyo...... Tafuta nyingine huna jipya
nipo katavi pia, ndo maana nkasema dk. 10 kabla ajaja yameitwa majina watu waka sauni kama wadhamini. kweli sio kweli
 
Back
Top Bottom