Lowassa na Pinda ndani ya Katavi kutafuta wadhamini

Lowassa na Pinda ndani ya Katavi kutafuta wadhamini

Leo katika zoezi la kutafuta wadhamini, Waziri Mkuu mstafu Edward Lowassa amekutana na mafuriko ya watu Mkoa wa Katavi wakiwa wanamsubiri kwa ajili ya kumdhamini....

Lowassa, katika mkoa huo umepata zaidi ya wadhamini 5,000....

Hii ndio safari ya Matumaini..... Jioni anatua Rukwa...

Kwahiyo pinda hata kwao hatakiwi?
 
"kama hamtulii ninamamlaka ya kumruhusu mheshiwa aende" kwa kile ambacho hakikutegemewa ziliskika sauti zikisema " "aende tu hatumtakii" " "aende hatumtakii "Lowassa akapewa jukwaa akashukuru kwa kupata wadhamini ambao kwa asilimia kubwa wamesafirishwa na malori toka vijijini

SIJAELEWA HAPO

Duuu,malori? Wadhamini wanasafirishwa kama magunia ya mahindi? AMA kweli ccm maajabu hayataisha.
 
Weka ushahidi hapa tukuamini wa kwake uko hapo juu tumeona na tumejiridhisha, tofauti na hapo karambe ndimu, mtaelewa tu mwaka huu, simama uhesabiwe.

Ukawa mwaka huu itawatoa makamasi.
 
Jamani mbona hizi thread tofauti kuna nyingine inasema watu wamemzomea na kusema aende zake sasa na wwe unakja kusema kafunika..........nni ni nni hapa???

Kwao kila kitu ni kukurupuka mkuu kwani tension ni kubwa kwa magamba
 
Alikufisadia nini mkuu? unabahati sana na nimekuheshimu sana, kuanzia saizi tutaanza kuapply ile dawa ya moto ni moto, tumia lugha isiyokuwa na staha utaipata ya aina hiyohiyo.

Mkuu wote mko magambani,msitoane macho kwani mtashindwa kupiga kura hapo october
 
Alikufisadia nini mkuu? unabahati sana na nimekuheshimu sana, kuanzia saizi tutaanza kuapply ile dawa ya moto ni moto, tumia lugha isiyokuwa na staha utaipata ya aina hiyohiyo.

Mkuu wote mko magambani,msitoane ngeu
 
i
Hivi kwa nini watu wengine mnashindwa kufikiri vizuri. Huyu EL keshakuwa raisi kivipi wakati Oct 25 haijafika na kupita. Usihemke sana usije kufa kwa presha mambo yakijakuwa kinyume na matarajio!

Kwetu sisi wanaomuhitaji lowasa,ikitokea cc wakakata jina lake ili hasigombee urais,tunajiondoa ccm..
 
Umesahau na mamillioni ya wananchi walio nyuma yake au wewe haya mafuriko huyaoni.... Pole sana, chuki huziba ufahamu

Hivi cc ya ccm ni watu wangapi? Mambo yote yanaishia cc,watu 30.
 
nimesema hapo juu jamaa wakanibeza, ukweli wapo walio msapoti hasa boda boda. Kuna wakati waligombania kuingia ndani ya jengo inasemekena walikuwa wanawapa kitu kidogo. na wapo walio mzomea na kumwambia ondoka. jamaa kwa kusoma upepo ajahutubia hata dk 5 akasepa

Kuna member humu aliwahi kusema kuwa tarime alipigwa mawe
 
Lowasa hana watu bali ana mtandao nimesha sema tricks zake anazozitumia leave alone that list is dirty tricks ambazo zitamfanya aenguliwe sijui mtahama Tanzania baada ya kuondolewa au ?

Walioko kwenye huo mtandao ni mawe au watu?... Hizi bangi mbaya sana...
 
Lowassa ndio kiongozi pekee who is pulling the crowd not by money kama maadui zake wanavyomtangaza but by virtue of his historical track record in power and in service of this nation.
To discredit him now is too late.
 
Lowassa ndio kiongozi pekee who is pulling the crowd not by money kama maadui zake wanavyomtangaza but by virtue of his historical track record in power and in service of this nation.
To discredit him now is too late.

Endapo watakata jina la el naamini ndio utakuwa mwisho wa ccm
 
NEC ina mamlaka ya kurevock maamuzi yoyote ya CC.....

Mkuu ocampo hivi ikitokea hayo matumaini yako yote yasifike kileleni,kwa maana lowasa akashindwa kuingia kwenye 5 bora itakuwaje?
 
Back
Top Bottom