Weka ushahidi hapa tukuamini wa kwake uko hapo juu tumeona na tumejiridhisha, tofauti na hapo karambe ndimu, mtaelewa tu mwaka huu, simama uhesabiwe.
Tena naombea sn chichiemu wampitishe lowasa ili ajue hasira za watz kwake
Leo katika zoezi la kutafuta wadhamini, Waziri Mkuu mstafu Edward Lowassa amekutana na mafuriko ya watu Mkoa wa Katavi wakiwa wanamsubiri kwa ajili ya kumdhamini....
Lowassa, katika mkoa huo umepata zaidi ya wadhamini 5,000....
Hii ndio safari ya Matumaini..... Jioni anatua Rukwa...
mchana huuhuu Pinda naye anatua Katavi.
Wewe nani mpaka tukuamini? Ungekuwa kamati Kuu sawa isitoshe uwingi wa wadhamini sio hoja cha ccm upo mkkuu usifikiri wanaojitokeza wote watampigia kura cc wengine wanataka kumwona fisadi anayetutesa yukoje?
Alikufisadia nini mkuu? unabahati sana na nimekuheshimu sana, kuanzia saizi tutaanza kuapply ile dawa ya moto ni moto, tumia lugha isiyokuwa na staha utaipata ya aina hiyohiyo.
Hivi kwa nini watu wengine mnashindwa kufikiri vizuri. Huyu EL keshakuwa raisi kivipi wakati Oct 25 haijafika na kupita. Usihemke sana usije kufa kwa presha mambo yakijakuwa kinyume na matarajio!Lowassa ni kiboko aisee...... Huyu jamaa nafkiri anasubiri tu kuapishwa, walahi ashakuwa Rais
mahaba yako na Pinda yanakutoa kwenye reality.
Leo katika zoezi la kutafuta wadhamini, Waziri Mkuu mstafu Edward Lowassa amekutana na mafuriko ya watu Mkoa wa Katavi wakiwa wanamsubiri kwa ajili ya kumdhamini....
Lowassa, katika mkoa huo umepata zaidi ya wadhamini 5,000....
Hii ndio safari ya Matumaini..... Jioni anatua Rukwa...
nimesema hapo juu jamaa wakanibeza, ukweli wapo walio msapoti hasa boda boda. Kuna wakati waligombania kuingia ndani ya jengo inasemekena walikuwa wanawapa kitu kidogo. na wapo walio mzomea na kumwambia ondoka. jamaa kwa kusoma upepo ajahutubia hata dk 5 akasepaJamani mbona hizi thread tofauti kuna nyingine inasema watu wamemzomea na kusema aende zake sasa na wwe unakja kusema kafunika..........nni ni nni hapa???
Alikufisadia nini mkuu? unabahati sana na nimekuheshimu sana, kuanzia saizi tutaanza kuapply ile dawa ya moto ni moto, tumia lugha isiyokuwa na staha utaipata ya aina hiyohiyo.
Sumve kumpa Lowasa Urais means unamtaka
Chenge
Rostam
Tibaiujuka
Ngeleja
Maige
Serukamba
Sophia Simba na watu wa aina hiyo kutumaliza bila huruma sasa . Lowasa kashindwa kabla ngoma haijaanza . Mjiandae kuzimia.