Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Nyumbu wa wa karatu kwa ubora wetu.leo mwingulu kawaita watu wa karatu NYUMBU.

swissme

Hatari sana. Huyo jamaa sijui kwa nini anatukana watu kiasi hicho.

Nape unadhani Tanzania yote yako na mama yako tu?
 
eeeeh! Hiyo kwel sio mchezo bhnaa magufuli ata baki na nape mwnye kiti tu. Haya mambo ya toroka uje hapana
 
Jinsi mambo yalivyo magumu kwa Magufuli kuweza kushindana na Mh. Edward N. Lowassa, namkaribisha rasmi "Magufuli Toroka Uje" tutakuteua ubunge tukurudishe kwenye wizara yako ya ujenzi. Kwenye urais kiongozi wangu ulikuwa hujajiandaa.

Udalatinda ong'wiswe, utulile dilu duhu i'talehe 25/10/2015
 
Nakuapia hashindwi kufanya hivyo na hicho ndicho alichobakisha
 
Kesho ni Chalinze, Kibaha na Bagamoyo au amefuta maana mnanichanganya
 
Back
Top Bottom