Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

Kwa kweli Mhongo alitudharau sana... But nadhani alifuta kauli hiyo

Mkuu mbona haja nguruma chochote hapa ninacho kiona ni kwamba amerudia yaleyale wanayoyafanya wenzake hata BRN yao imejikita kwenye maeneo hayo hayo.Hiyo foleni iliyopungua Dar es Salaam ni ipi? lets be serious jamani hakuna kilichopungua adha ikopalepale as usual ila sema kwa kuanzisha treni la usafiri wa ndani amabalo halijaondoa adha ya usafiri bado ulikuwa ni ubunifu iwapo ungezingatiwa kwa kuweka Mtandao unao hudumia sehemu zote korofi.Kwa sasa ksema kwamba kunamtu kapunguza foleni aah hapana bado! bado sana.

Halafu sidhani kama kuna uchumi wowote unao haribika kwa watu kuchelewa barabarani kwasababu wote ni wauza Juice na matunda si ndo tume ambiwa na Profesa Muhongo .Uchumi uko kwenye gesi wengine wote wauza Juice na vitumbua na hawana umuhimu wowote kwa serikali hii.
 
sijui Watanzania wanaogopa nini kuiweka ccm nzima likizo japo ya miaka mitano hili wajionee tofauti ya vitendo badala ya kulaghaiwa na watu wale wale kila kukicha!
 
Lowasa kuongea imekuwa issue!
Lipi la maana kaongea,that is worth discussion?
 
Hapo inaonyesha LOWASSA anapenda kazi za John Pombe Magufuli zaidi ya WAZIRI MKUU anayemuingilia kwenye shughuli zake...

Conflict of Interests...???
hapo kamlenga waziri mkuu indirect anayemuingilia John pombe magufuli katika kazi zake
 
Yani kuna watu wanamfkria huyu jambazi kuwa rais? Kuna mtu kaurahisisha sana huu urais. Usishangae baadhi ya misukule huku kwetu chadema wakipendekeza lema awe mgombea wa urais. Poor us!
 
Naona humo bungeni n yeye na viti maalumu tu

1.jpg
 
Nahisi tatizo ni watendaji wa chama ambao wanaharibu jina la chama., imetokana na ubabe, undungulazation na ubinafsi.

chama kimeacha kutekeleza sera za chama sasa kinafanya kazi binafsi kwa manufaa ya mtu mmoja mmoja pia watendaji wanafanya kazi kwa uwonga cha msingi wajitoe kama mh mangufuli na mwakyembe waone mambo yatakavyokuwa bomba.
 
Afanyaye vyema apongezwe hongera mh lowasa kwa kutambua utendaji mzuri wa mawaziri hawa
 
Mkuu mbona haja nguruma chochote hapa ninacho kiona ni kwamba amerudia yaleyale wanayoyafanya wenzake hata BRN yao imejikita kwenye maeneo hayo hayo.Hiyo foleni iliyopungua Dar es Salaam ni ipi? lets be serious jamani hakuna kilichopungua adha ikopalepale as usual ila sema kwa kuanzisha treni la usafiri wa ndani amabalo halijaondoa adha ya usafiri bado ulikuwa ni ubunifu iwapo ungezingatiwa kwa kuweka Mtandao unao hudumia sehemu zote korofi.Kwa sasa ksema kwamba kunamtu kapunguza foleni aah hapana bado! bado sana.

Halafu sidhani kama kuna uchumi wowote unao haribika kwa watu kuchelewa barabarani kwasababu wote ni wauza Juice na matunda si ndo tume ambiwa na Profesa Muhongo .Uchumi uko kwenye gesi wengine wote wauza Juice na vitumbua na hawana umuhimu wowote kwa serikali hii.

Well said mkuu.
 
Sko
Sio ajabu alichokisema, ana point Nzuri shida hao waambiwao wanayazingatia? Hii cabinet ya mawaziri wengi ni vilaza ili mradi wamejaza CV zao basi lakini sio utendaji kazi ni mawazili wa madili tu .
 
Back
Top Bottom