Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

OOOOOooooh huyo hana issue yupo yupo kama sanamu kashikwa na raiki zake Wauza unga,Majangili na pia huyo si ndio muanzilishi wa Udini Tanzania na huyo huyo ndio katoa chokochoko ambazo Hadi wametwengwa na wakuu wa nchi za Kenya,Uganda na Rwandwa kweny maswala ya East Africa huyu mtu atakuwa mlalamika Hadi atoke hapo lakini hawezi kushughulikia matatizo hayo uliyoandika mkuu yeye mwenyewe ni FISADI sasa unategemea nini hapo alipo kafika KIFISADI na MAFISADI ndio waliomuweka hapo so what!!!Hakuna jipya hapo kesho.
 
Ujumbe huu ukufikie Mh. Rais wetu.
Watanzania tuna hamu kubwa ya kusikia utakacho kizungumza Bungeni Alhamisi hii. Katika hotuba zako nyingi hivi karibuni umekua ukilalamika sana bila kutoa tamko. Juzi juzi Ndg. Lowasa alinukuliwa akisema tumekua Taifa la walalamikaji kuanzia kiongozi wa juu hadi chini.

Mh. Rais; tunatarajia kwamba katika hotuba yako bungeni utakemea rushwa kwa nguvu, madawa ya kulevya, ujangili, mateso na mauaji ya raia, ukabila na udini ambao unatishia umoja wa taifa letu. Zungumzia hatma ya elimu ya Tanzania, ajira kwa vijana, kupanuka kwa pengo kati ya masikini na matajiri nchini. Toa msimamo kuhusu Afrika Mashariki na usalama wa mipaka yetu.

Don't complain again Sir; you are the President of Tanzania!

Mambo muhimu yote ya kitaifa umryataja tunasubiri kusikia hatua madhubuti zinazochukuliwa.
 
It is only a leader who can respond to your request. Subiri ujionee the shallowness of the speech that will come out today. Mie simoooooo mzee!!!!
Ngoja nijitafutie kona ya kahawa nisije tobolewa jicho au kung'olewa meno bureeee......
 
Zungumzia hatma ya elimu ya Tanzania, ajira kwa vijana, kupanuka kwa pengo kati ya masikini na matajiri nchini.
  • Nitaifuatilia kwa umakini hotoba yake nioone kama amegusia haya maswala yanayomgusa kila mtanzania wa kawaida.
  • Ila kwa upande mwingine hutuba tayari ilikwisha andaliwa, just tusubuli na kusikia kama imegusia haya maswala.
 
Namkubali sana huyu jamaa,
Ni jasiri sana anapambana kiume hana ile ya "umemwaga ugali mimi nimwage Mboga" kwa manma issue ya richmond ilivyokuwa naamini wangekuwa vioongozi wengine wangetajana hadi wakome lakini jasiri amepambana kufa kupona hadi mwisho na 2015 lazima ataingia white house.

Pamoja na Membe kutumia mbinu ya kuwarubuni baadhi ya marais wa vyuo vikuu kuwapeleka china ili warudi na kutengeneza mtandao wake wa kufanikisha adhima ya kukaa Ikulu kwa Lowassa atangoja sana!

umeongea point, membe hakuna kitu...Lowasa anakubalika sana sasa ivi kuliko hata zamani...
 
mnafki sana huyu jamaa.anajifanya ana uchungu na vijana wa leo.alikuwa pm hakufanya lolote.na hayo maamuzi yake magumu ndo yanatuletea maisha magumu leo.kwahiyo kama serikali inafanya upuuzi watu wasilalamike!!! aende akaendeshe biashara zake tunajua anataka kunnua urais kwa kias chochote lakini watz jiulizeni;hizi pesa anazotoa atazirudishaje???
 
Ujumbe huu ukufikie Mh. Rais wetu.
Watanzania tuna hamu kubwa ya kusikia utakacho kizungumza Bungeni Alhamisi hii. Katika hotuba zako nyingi hivi karibuni umekua ukilalamika sana bila kutoa tamko. Juzi juzi Ndg. Lowasa alinukuliwa akisema tumekua Taifa la walalamikaji kuanzia kiongozi wa juu hadi chini.

Mh. Rais; tunatarajia kwamba katika hotuba yako bungeni utakemea rushwa kwa nguvu, madawa ya kulevya, ujangili, mateso na mauaji ya raia, ukabila na udini ambao unatishia umoja wa taifa letu. Zungumzia hatma ya elimu ya Tanzania, ajira kwa vijana, kupanuka kwa pengo kati ya masikini na matajiri nchini. Toa msimamo kuhusu Afrika Mashariki na usalama wa mipaka yetu.

Don't complain again Sir; you are the President of Tanzania!

Kukemea hakutoshi ni lazima wote wanaohusika na ujangili wafikishwe katika baraza la mahakama.
 
Back
Top Bottom