Je kaelezea richmond ni ya nani?.
Monday, November 4, 2013
Edward Lowassa.
Katika hali isiyo ya kawaida, Waziri Mkuu aliyejiuzulu, ambaye huongea kwa nadra bungeni, Edward Lowassa leo amenguruma na kutaka taifa kuacha kuweka vipaumbele vingi visivyotekelezeka kwa wakati.
Alitaka serikali kuweka nguvu katika vipengele vichache vya msingi kama ajira, afya, elimu na miundombinu.
Aliwapongeza mawaziri John Magufuli kwa kuimarisha barabara na Dk. Harrison Mwakyembe kwa kubuni mbinu za kupunguza foleni jijini Dar es Salaam, alizosema zinachangia kuharibu uchumi kwani watu wengi wanakaa barabar ani badala ya kufanya kazi.
The answer is simple!. Hawana mtu au chama ambacho ni zaidi ya CCM kukipa nchi.sijui Watanzania wanaogopa nini kuiweka ccm nzima likizo japo ya miaka mitano hili wajionee tofauti ya vitendo badala ya kulaghaiwa na watu wale wale kila kukicha!
Kibaka yeyote angeweza kuongea hayo.Mimi ni Pro Membe tena?
Lowasa ana stress ndio maana mara nyingi hapendi kuongea ndani ya bunge kwa hofu ya kuchafua hali ya hewa ya huko.
Duh !!! Lowasa naye ?
Ni huyuhuyu amewahi kusema huwezi kuendelea bila ku-improve poverty. Huo ufahamu autoe wapi kilaza huyu ?Hii tunaita "self promotion by window dressing".
Lowasa anasema serikali iweke nguvu katika vipengele vichache kama ajiria, afya, elimu na miundo mbinu. Atuambie ni vipengele vipi ambavyo kwa sasa serikali inatia nguvu lakini tunaweza kuviacha, maana alivyoviacha kutaja vya msingi ni kama ifuatavyo, kwenye red;
1. Ajira
2. Afya
3. Elimu
4. Miundombinu
5. Nishati (umeme)
6. Maji
7. Kilimo
8. Madini
Kwa hiyo, aseme wazi, serikali iache nini kwa sasa, michezo na utamaduni?
Pili, Lowasa aidha hana ufahamu wa uchumi au alikuwa anaongea ili watu wasikie sauti yake. Ajira si kipengele ambacho serikali inaweza kushughulikia "in isolation". Ajira ni matokeo ya serikali kushughulikia sekta nyingine. Kwa hiyo kama ana busara kama anavyotaka tufikirie atuambie ajira zitaongezwa kwa kushughulikia nini, sio kwamba serikali ishughulikie ajira. Huko ni kujipendekeza kwa watu wasio na ajira. Kwa mfano ukisema shughulikia miundo mbinu au nishati tayari unashughulikia ajira. Hivyo asitoe maneno ya kuremberemba hapa, watu tuna akili zetu za kutosha japo hatujawahi kuwa Mawaziri Wakuu kama yeye.
kibaka ni mama yako aliyezaa mtoto asiye rizk