Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

Ametoa maoni juu ya vipaumbele ambavyo serikali inapaswa kuyapa msukumo. Vipaumbele ni ajira kwa vijana, elimu, reli ya kati na kupunguza foleni barabara za dar. Amevichambua vizuri na kusisitiza serikali lazima iwe inachukua maamuzi magumu pale ambao utekelezaji unapokwama.
 
Hana lolote huyo anajipigia kampeni ana taka watanzania waamini kuwa hakuna mwenye uwezo wa kutoa maamzi magumu isipo kuwa ni yeye tu.
Ndani ya Magamba yeye ndiye Mwanaume pekee aliyebaki ukiachana na wengine wamekaa kama Vigoli tu huko.
 
maneno na kutenda ni vitu tofauti miaka yote alipokuwa madarakani amefanyanini?amekuwa waziri mpaka waziri mkuu.

Waulize watu wa shinyanga maji wanayotumia aliwapgania nani mpaka wakapata?
Kulikua na vikwazo vingi ikiwemo kutishiwa kupigwa na egypt lakin huyu bwana alisimama imara mpaka mpango ukakamilika.
Ana upungufu mkubwa sana,
ila si vema kusema hajafanya lolote.
Amepungukiwa kwenye suala la kuaminika toka sakata la richmond lakini ukweli utabaki kua ukweli,
Jamaa alikua mchapakazi sana.
 
Mtuhumiwa Mashuhuri wa Richmond ataongea muda si mrefu bungeni, kumbukeni hii itakuwa ni Mara ya pili kuongea bungeni toka achaguliwe 2010!

Lowassa ni FISADI, MTUHUMIWA WA RICHMOND na Tajiri. Lakini Lowassa ni kiongozi mwenye maamuzi magumu, pengine kuliko wenzake wote ndani ya ccm. Lowassa hasubiri ufagio wala caterpillar ya kumng'oa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani Leo Bungeni kuna Harambee yeyote ???
 
MSALANI; Rais ajaye wa bendi ipi maana kama ni TFF tayari amechaguliwa Jamal Malinzi!
 
Last edited by a moderator:
Lowassa lazima achangie kama Mbunge wa Monduli maana anawawakilisha watu wa jimbo lake, anayo haki ya kusema lolote kama alivyo Kigwangalla maana huyo ni mbunge, LAKINI hiyo haitoi hati yoyote kumuidhinisha kuwa Rais wa Tanzania.
 
Mtuhumiwa Mashuhuri wa Richmond ataongea muda si mrefu bungeni, kumbukeni hii itakuwa ni Mara ya pili kuongea bungeni toka achaguliwe 2010!
Huyo ndo raisi wako,baba yako na mtu atakayerejesha Tanzania tuitakayo,pia kaongelea kuhusu EAC badala ya kuvimbiana macho kumwandama Kagame kasema tusipoteze muda na haraka tuiwahi DRC. wimbo babababaa kiitikio: babaaa,baba huyo babaaa baba huyo......., hapo vipi?
 
Rais ajaye..Keep it up LOWASSA!

Msalani! kumbe vurugu zako mtandaoni unamlenga EL? unattainable dream Hivi kwa nini usiwaze wewe mwenyewe kuwa rais umwazie EL? what is so special in him aftet his forced retirement as mp?
 
Ametoa maoni juu ya vipaumbele ambavyo serikali inapaswa kuyapa msukumo. Vipaumbele ni ajira kwa vijana, elimu, reli ya kati na kupunguza foleni barabara za dar. Amevichambua vizuri na kusisitiza serikali lazima iwe inachukua maamuzi magumu pale ambao utekelezaji unapokwama.
Mbona hujamalizia kuhusu kauli yake kuhusu ushirikiano na EAC? Kasema tuachane nao na tushirikiane na DRC au una chuki Binafsi na raisi E Lowassa?
 
EL namkubali kwa action sio huyu pm wa sasa ye mtu wa kulia lia,
 
Back
Top Bottom