alichokiongea lowasa kina mantiki ila kimsingi tatizo la ajira haliwezi kutatuliwa kwa siasa za majukwaani ila kwa maamuzi magumu ya kufufua viwanda na kujenga viwanda vipya.chukulia mfano mdogo bakhersa(azam) yeye ameweza kuajiri watanzania wangapi je kama hii nchi kungelikuwepo na viwanda kama vyake kwenye sekta mbalimbali na mikoa tofauti je hili tatizo la jaira lingelikuwepo?tunahitaji maamuzi magumu na sio uswahili.
Ni kauli aliyoitoa wakati akichangia bungeni na kutoa tahadhari kama viongozi hawawezi kufanya maamuzi na wao wakajiunga kwenye kundi la kulalamika, hali hii inaashiria kuwa na nchi ya malalamiko, viongozi wachukue hatua badala ya na wao kulalamika.
Kaongelea issue za ajira kwa vijana, Elimu na miundo mbinu; lakini hao aliowaambia wanaambilika?
Haya maneno tu ya wanasiasa hivi unadhani kampa Mwakembe hongera pale za dhati kabisa ? Mtu ambae alimlalamikia kwa kuwakilisha ripoti ya Richmond kwa mbwembwe bila kumuhoji ingawa kama angetakiwa na kamati alilikuwa radhi kutembea kwa miguu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.