Lowassa anyimwa Visa ya kuingia UK?

Hawa wazungu wangekuwa na nia ya kumaliza ufisadi na rushwa Afrika na nchi nyingine basi wasingekuwa wanaruhusu mabenki yako kuweka hela za wizi. Wanatupiga viini macho tu!!!
 
Hawa wazungu wangekuwa na nia ya kumaliza ufisadi na rushwa Afrika na nchi nyingine basi wasingekuwa wanaruhusu mabenki yako kuweka hela za wizi. Wanatupiga viini macho tu!!!

Umalizwaji wa ufisadi Afrika si wajibu wa wazungu bwana....ufisadi Afrika utamalizwa na Waafrika wenyewe lakini kwa bahati mbaya hilo haliwezekani na sababu mnaijua!!!
 
Nakubaliana na wewe. Kuna 'udaku' mwingine unafanya vichwa vijisugue kutoa mawazo. Kwa mfano nilikuwa na wazo lifuatalo;

Kwa nini tusipetition hizi balozi zilizopo TZ ili zote ziwanyime viza washukiwa wote wa Richmond, EPA, BOT n.k. mpaka hapo ukweli utakapojulikana? Maana serikali haijali kwa vile wengi waliomo ni wahusika otherwise wangeharakisha kuwanyang'anya pass zao kama walivyokuwa na haraka ya kuwatia ndani moderators wa JF. Waungwana mnasemaje??

Hiyo tunatatua wenyewe tu!
Cha kufanya ni kuwapokonya hati za kusafiria.
 
Umalizwaji wa ufisadi Afrika si wajibu wa wazungu bwana....ufisadi Afrika utamalizwa na Waafrika wenyewe lakini kwa bahati mbaya hilo haliwezekani na sababu mnaijua!!!

Hapo ni kweli tunatakiwa tuumalize wenyewe tu,Lakini yale mabenki ya Zurich,Cayman Islands na kwingineko yasingekuwa yanakubali kuweka hizi hela za ajabu ajabu,Tukiamua tunaweza chukulia mfano wa Romania walivyomuondoa Nicolae Ceausescu.

Ufisadi wa afrika unaumiza watu wa chini.
 
Mko sahihi kabisa, lakini nani atakubali kunyang'anywa tonge mdomoni? Hao wanaohifadhi hizo pesa wanajua zinawasaidia, ndio maana wale wanaojifanya kutoa misaada Afrika wala hawapigi kelele kwa pesa za misaada hiyo zinapoishia Uswisi!
Unadhani hawajui kuwa tunaiba na kupeleka kule?
 
Hawa wazungu wangekuwa na nia ya kumaliza ufisadi na rushwa Afrika na nchi nyingine basi wasingekuwa wanaruhusu mabenki yako kuweka hela za wizi. Wanatupiga viini macho tu!!!

Mzee umemaliza hapa
c863bf5b.jpg
 
Hawa wadaku wengine kwa nini hawaziweki hizi habari kwenye udaku? mods, tafadhali pelekeni hii habari kwenye udaku, yaani inawekwa kwenye habari mpya au kwa kimombo "breaking news" na ma mods mnakubali.

So mpaka hapa unaweza kutuambia nani ni mdaku. Clearly inaonekana mtu amekuja na idea, ambaye imedevelop kuelekea kwenye mzizi wa idea aliyoitoa, and this is how things always start at this forum. Ingawa hakuwa sahihi kwa 100 (as it has been with other threads and posts), lakini msingi wa alichokisema ni kweli, na baadaye inaelekewa kuwa kweli tupu. Nani ni madaku hapa. Unaopna post ipi ipelekwe kwenye udaku, yako au yake!
 
Huyu mwenzetu maesikia tetesi (kumbukeni Richmond nayo ilianza kama tetesi) na ameiweka hapa akisema bayana kuwa kama kuna mtu mwenye data zaidi aongezee.Sasa kosa lake liko wapi?How many times watu wamekuja hapa na mawazo yao binafsi ambayo definitely source ni wao wenyewe (holders wa mawazo hayo).

Udaku ni kusema Lowassa kajiunga na chadema but kusema "kuna habari/etetsi kuwa lowassa ana mpango wa kujiunga na chadema" sio udaku.Ni muhimu kila habari iwe na chanzo lakini vp kuhusu tetesi kwa mfano hiyo ya dude liitwalo AGENDA 21?Au vipi kitu kitwacho "MTANDAO" ambacho licha ya kutajwa sana hakuna mahala popote panapozungumzia dude hilo lilivyoundwa,lilikuwa/lina members wa ngapi,etc.

Tukitaka source kwenye kila posts,then hii itageuka kuwa sehemu ya ku-copy na ku-paste tu ilhali kuna habari lukuki za mtaani (na tusisahau kuwa hatuna transparent media inayoweza kuandika kila kitu).Naamini kwamba iwapo tetesi hii ingepostiwa na "jina linaloaminika" wala isingeshutumiwa namna hii.Let's be fair for our own JF's benefits.

Safi kabisa Mlalahoi umefafanua vema. Tetesi source yake ni yule msemaji mwenyewe hata ukimbana vizuriaseme anaweza akakata kuendelea kusema. Kwanini tusiwe wavumilivu wa kusubiri?
 
Narudia kwamba tena kusema kwamba sababu kamili ya kunyimwa hazijawa clear .Bado nina ninatafuta uhalali wa hii habari .Nikiwa na habari sahihi nitasema ila ukweli wa kinyimwa Visa si udaku Lowasa kanyimwa Visa ya UK .

HIVI BADO ANAYO PASPORT??? USALAMA HAWAJAICHUKUA WAKATI TARATIBU ZA KUWAPELEKA MAFISADI MAHAKAMANI ZIKIENDELEA??
 
HIVI BADO ANAYO PASPORT??? USALAMA HAWAJAICHUKUA WAKATI TARATIBU ZA KUWAPELEKA MAFISADI MAHAKAMANI ZIKIENDELEA??
MUWAJIBIKAJI ANYANG'ANYWE PASSPORT? YOU MUST BE KIDDING ME, SAA HIVI ANAUGUZA MAJERAHA YAKE YA "AJALI YA KISIASA" THE LAST THING SERIKALI WANT TO DO IS KUMUONGEZEA MAUMIVU MUWAJIBIKAJI KWA KUMNYANG'ANYA PASSPORT YAKE, OH PULIIIIIZ LETS STOP THIS DAYDREAMING BUSINESS!
 
Taratibu za kuomba Viza kwa Diplomatic passport-holders ni tofauti na za akina sie. Hawa wanaombewa na foreign na hawalipii viza fees na incase watanyimwa viza balozi husika hutoa maelezo kwa maandishi kwenda foreign office.

Pale tu anapokuwa anasafari kikazi, ataombewa na Ofisi/shirika husika na halipi fee. Kama ni safari za binafsi, ataomba Visa yeye kama yeye, na hatakiwi kuambatanisha Diplomatic passport yake, ataomba kwa kutumia National passport yake tu. Of course, baadhi ya nchi ukiwa na Diplomatic Passport unaingia bila Visa (safari za kikazi japo watu huchukulia advantage za Passport hizi kufanya safari zao binafsi).
 
HIVI BADO ANAYO PASPORT??? USALAMA HAWAJAICHUKUA WAKATI TARATIBU ZA KUWAPELEKA MAFISADI MAHAKAMANI ZIKIENDELEA??

The man he still have his passport . Kwa serikali yeye hana kosa kajiondoa kwa manufaa ya Chama chake alisema Bungeni.Na kumpokonya PP ni nani kati ya hao wote ? Kama Mkapa kaiba hadi kipofu kaona na yuko andunda, kama Rais kashindwa kutaja nahata kuwahukulia hatua wauza madawa na wote wa EPA na BOT nani wa kumvaa Lowasa ?Kama Rostam kagomea kamati ya Bunge na hajafanywa lolote leo umvae Lowasa na passport ?
 
Kimbembe nakubaliana na madai yako kwamba ni Kweli recently Lowasa amenyimwa Visa kwenda UK .Hizi ni habari ndani sana na ukweli ndiyo ulio usema hapa .Wanao kupinga na kuomba source waache waendlee kuomba source maana si kila kitu source itakuwa magazeti na kuandika hapa .
 
Sio habari za nchi tu,nchi ambazo zinahitaji visa ni lazima uchukue visa hata kama una diplomatic passport. Inachokusaidia tu ni unaepuka procedure za mwananchi wa kawaida za kupata visa na chances za kukataliwa huwa na ndogo. pia mkumbuke baada ya lile sakata la wabunge wa cuf, guidelines za sasa zinaruhusu kutumia diplomatic passport only in official business, kama unaenda for your private business hauruhusiwi kuitumia. sasa whether these guidelines zinafuatwa remains a big puzzle!
 
Lowasa sio waziri mkuu tena, Dowans wanaendelea kuvuta mshiko kama kawaida na wao ni kampuni hewa vilevile, sasa hata mafaili brela wamechomwa moto, watz tumekuwa pilato tunahukumu kufuata makelele ya watu.

Naimani Lowasa ni mtu hodari tena mchapa kazi, alimtimua Bagdad enterprise pale mnazi mmoja, kamtoa baru city water, kawafurumsha ng'ombe ihefu, kasimamia mradi wa maji shy kahama.

kaanzisha sekondari kata sasa hivi hausigeli na wakata nyasi za ngombe wamekuwa adimu watoto wote wanapiga kitabu, huku vijijini asubuhi utakutana na msururu mrefu wa watoto wakiendesha baiskeli kwenda sekondari kata. Tutakuja mkumbuka sio muda mrefu.
 
Umesahau kitu kimoja, Lowassa ni mwizi pia ni fisadi asiye mvivu...ndo maana amejikusanyia mali nyingi sana!!
 
Lowasa sio waziri mkuu tena, Dowans wanaendelea kuvuta mshiko kama kawaida na wao ni kampuni hewa vilevile, sasa hata mafaili brela wamechomwa moto, watz tumekuwa pilato tunahukumu kufuata makelele ya watu.

Naimani Lowasa ni mtu hodari tena mchapa kazi, alimtimua Bagdad enterprise pale mnazi mmoja, kamtoa baru city water, kawafurumsha ng'ombe ihefu, kasimamia mradi wa maji shy kahama.

kaanzisha sekondari kata sasa hivi hausigeli na wakata nyasi za ngombe wamekuwa adimu watoto wote wanapiga kitabu, huku vijijini asubuhi utakutana na msururu mrefu wa watoto wakiendesha baiskeli kwenda sekondari kata. Tutakuja mkumbuka sio muda mrefu.

eddy bwana
City water kesi yake iliisha vipi kama unakumbuka ? Lowasa alipata mapesa maana ile ilikuwa ni deal . Kijijini kanyigo mashule yako ndege wanakunya humo hakuna waalimu wala huduma kwa waalimu.Tutamkumbuka kwa wizi wake zaidi.
 
ILE YA WEAZIRI MKUU KASHANYANG'ANYWA kwa sasa anayo passport ya kidiplomasia ya kawaida tu kama wabunge wengene nadhani ya waziri mkuu ni no 4 so hawezi kuwanayo tena

He is going to have it (and so is his wife) as part of Marupurupu until he dies! Soma package ya Marupurupu ya EL!
 
Back
Top Bottom