Lowassa anyimwa Visa ya kuingia UK?

He has our diplomatic passport, does he still needs a Visa to enter UK?

Mkuu Rev! YES indeed he needs the visa, kuwa na diplomatic passport hakumfanyi mwenye pasi apewe visa waiver....hata JK akitaka kusafiri huwa anaombewa visa na hiyo diplomatic passport yake.

Tukirudi kwenye suala la Mh. Lowassa kunyimwa visa hilo linawezekana kwasababu serikali ya UK imekuwa na tabia ya kuwanyima visa viongozi wa Afrika wanaohusishwa na ufisadi...mfano hai...viongozi wa juu wa Kenya...wakiwemo mawaziri wa serikali ya Moi na hii ya Kibaki wamenyimwa visa za UK...
 
ILE YA WEAZIRI MKUU KASHANYANG'ANYWA kwa sasa anayo passport ya kidiplomasia ya kawaida tu kama wabunge wengene nadhani ya waziri mkuu ni no 4 so hawezi kuwanayo tena

Mindhali tuko kwenye hili suala la diplomatic passports..hivi mnahabari kuwa staff wa ubalozi wetu London kawachukulia wadogo zake diplomatic passports?

sasa naona Bongo kila mtu anayo diplomatic passport sielewi kwa nini
 
Huyu mwenzetu maesikia tetesi (kumbukeni Richmond nayo ilianza kama tetesi) na ameiweka hapa akisema bayana kuwa kama kuna mtu mwenye data zaidi aongezee.Sasa kosa lake liko wapi?How many times watu wamekuja hapa na mawazo yao binafsi ambayo definitely source ni wao wenyewe (holders wa mawazo hayo).

Udaku ni kusema Lowassa kajiunga na chadema but kusema "kuna habari/etetsi kuwa lowassa ana mpango wa kujiunga na chadema" sio udaku.Ni muhimu kila habari iwe na chanzo lakini vp kuhusu tetesi kwa mfano hiyo ya dude liitwalo AGENDA 21?Au vipi kitu kitwacho "MTANDAO" ambacho licha ya kutajwa sana hakuna mahala popote panapozungumzia dude hilo lilivyoundwa,lilikuwa/lina members wa ngapi,etc.

Tukitaka source kwenye kila posts,then hii itageuka kuwa sehemu ya ku-copy na ku-paste tu ilhali kuna habari lukuki za mtaani (na tusisahau kuwa hatuna transparent media inayoweza kuandika kila kitu).Naamini kwamba iwapo tetesi hii ingepostiwa na "jina linaloaminika" wala isingeshutumiwa namna hii.Let's be fair for our own JF's benefits.

Mimi mtoa habari wangu namuuliza kwa sasa yuko msibani na akiwa na nafasi atatuma hata text mie nita copy ujumbe na kuumwaga hapa .Naona mnapinga sana tetesi lakini mambo yote hata akina Slaa walianza na tetesi then wakatafuta ushahidi .
 
GT,
Hiyo ya kuwachukulia wadogo zake dipolomatic passport sioni ajabu ili mradi yeye ndiye anayewatunza wadogo zake hao. Maafisa wa ubalozi wanaweza kuwachukulia dependents wao passport za kibalozi.
 
Mutu kanimwa Pachipoti kwenye Vicha Mi chichemi hata!

Huko Israel ajiangalie.
Kuhiji huku ukiwa umebeba Furushi la gubu za kweli za wananchi ziwezazo kutafsiriwa kama dhambi ni hatari kwako mwenyewe.

Dini inadhihakiwa kila siku lakini Mungu hadhihakiwi hata siku moja.

Au anaenda kutafuta makomandoo wa KiIsarel???
 
Ungejiandaa vizuri na ukaja na habari kamili.

Mtu hawezi kunyimwa viza eti kwa sababu ataenda "kusemea nje" au "kuhangaika na pesa" zake kwenye a/c za nje.

Usigeuze jamvi hili makini kuwa kama kijiwe cha kunywa kahawa

Ukiondoa njaa yako huwa una michango mizuri sana. nakushukuru kuujua uongo huu kama wa Tanzania Daima na KINA HAPINESS KATABAZI au voda faster.
 
Majibu sahihi ya kwa nini alinyimwa ni haya .

actually balozi haikutaka kumpa visa kwa kuwa wangeonekana wanashirikiana na mafisadi wakati wao wanaunga mkono kupambana na mafisadi.so ubalozi hauja reveal information yeyote ile wanangojea ipoe .
 
Kuna sababu nyingi sana zinazoweza kufanya unyimwe VISA, mfano huna mahali unapofikia Address, huna mtu wa kukudhamini huko uendako, huna vithibitisho vya pesa unapoomba hiyo VISA, wanakushuku huna sababu yoyote maalumu ya safari yako na unaweza kuzamia nk. nk. kwa hiyo huenda ni kweli kanyimwa maana ameomba as EL mbunge wa Monduli. i.e UK huwashitukia sana wezi kutoka Afrika kwenda kutumia mali za wizi.

Hii habari sio UDAKU mengi yataletwa hapa maana kama mmoja wetu alivyosema kesha kitimua na yuko kwa majews.

GT

Hapo UK kama huyu jamaa amewapa diplomatic passport huenda wapo hapo kwa mgongo wake. Kama sio hivyo hawastahili lakini kwa hili naona wanastahili ndio sababu wamepewa kama ni kweli. Vinginevyo mwaga upupu na thread yake.
 
Mkuu Rev! YES indeed he needs the visa, kuwa na diplomatic passport hakumfanyi mwenye pasi apewe visa waiver....hata JK akitaka kusafiri huwa anaombewa visa na hiyo diplomatic passport yake.

Tukirudi kwenye suala la Mh. Lowassa kunyimwa visa hilo linawezekana kwasababu serikali ya UK imekuwa na tabia ya kuwanyima visa viongozi wa Afrika wanaohusishwa na ufisadi...mfano hai...viongozi wa juu wa Kenya...wakiwemo mawaziri wa serikali ya Moi na hii ya Kibaki wamenyimwa visa za UK...

Mzee Kigoma , usishangae Rizwani alikuwa UK kw amuda sana na ni kijana kidogo mtulivu bishoo anaweza kuwa ni mshikaji wa karibu na Mzee GT huwezi kujua .Hivi huyu ndiye yule aliwahi kuibiwa simu Airport ikawa seke seke kwa watu wa usalama wa Taifa ?Maana watu wote walijua siku ile kwamba mwana wa rais kaibiwa simu uwanja hapo .
 
Kama Ridhwani angekuwa mchizi wangu nisingeanzisha utotori wa threads za kumkandia babayake na timu yake. Ridhwani hana tabia hizo za akina NICKO MKAPA ambao inajualikana walikuwa ni macorrupt kuliko watoto wa akina Surhato kule Indonesia

Kwa taarifa yako RIDHWANI alishapewa nafasi ya kuwa trainee pale MC GRAW HILL & COMPANIES lakini kwa kutaka kuondoa dola la kuonekana kama kuna jambo jamaa wanalitaka aliamua kuachana nao na hakuchukua ile nafasi

Jamaa sio fisadi na kama kuna mtu anao ushahidi aulete hapa na mimi sitosita kumblast sasa hivi otherwise naona hii stori ishakuwa innuendo
 
Majibu sahihi ya kwa nini alinyimwa ni haya .

actually balozi haikutaka kumpa visa kwa kuwa wangeonekana wanashirikiana na mafisadi wakati wao wanaunga mkono kupambana na mafisadi.so ubalozi hauja reveal information yeyote ile wanangojea ipoe .

How ironic!
Wakati RA yuko huko huko UK kwa visa ya hao hao balozi wa UK ambao hawataki kuonekana wanashirikiana na mafisadi?

Kimbembe, usituuzie mbuzi kwenye gunia hapa.
 
How ironic!
Wakati RA yuko huko huko UK kwa visa ya hao hao balozi wa UK ambao hawataki kuonekana wanashirikiana na mafisadi?

Kimbembe, usituuzie mbuzi kwenye gunia hapa.

Kungani ni kuhakikishia kwamba Lowasa has been denied a Visa for UK .Huu ni ukweli .Kashfa kubwa na uzito aliubeba Lowasa na wengine wanafuatia .Naamini hata Karamagi akiomba UK lazima atapigwa chini .Habari sasa ziko nje stay tuned utasikia zaidi juu ya hii Visa denial .
 
GT,
Hiyo ya kuwachukulia wadogo zake dipolomatic passport sioni ajabu ili mradi yeye ndiye anayewatunza wadogo zake hao. Maafisa wa ubalozi wanaweza kuwachukulia dependents wao passport za kibalozi.
sINA UHAKIKA NA HII NTACHECK NA WASHIKAJI WALIO PALE WATUJULISHE KAMA INAWEZEKANA KUPATA HIYO PASS KWA WADOGO AU DEPENDANT WA MTU.Nijuavyo mii ni baba mama na watoto
 
Mutu kanimwa Pachipoti kwenye Vicha Mi chichemi hata!

Huko Israel ajiangalie.
Kuhiji huku ukiwa umebeba Furushi la gubu za kweli za wananchi ziwezazo kutafsiriwa kama dhambi ni hatari kwako mwenyewe.

Dini inadhihakiwa kila siku lakini Mungu hadhihakiwi hata siku moja.

Au anaenda kutafuta makomandoo wa KiIsarel???
kaka/dada mi nimeshangaa kweli we nguja nguvu ya mungu imshukie huko au ndio anaenda kutubu dhambi zake huko.
 
By the way tusisahau kuwa serikali ya UK inasurvive kutokana na pesa za UFISADI dunia nzima

sasa its in their interest kumruhusu LOWASSA aje kuhamisha pesa zake toka CSFB kwenda BARCLAYS CAPITAL

Jiulizeni serikali ya UK ilirudisha kiasi gani achokiiba ABACHA ua zile nyumba za MOI au mapesa aliyoiba BENAZIR BHUTO?
 
Siku hizi imekuwa ni mtindo au tabia ya Nchi za Ulaya Magharibi na US kuwanyima VISA mafisadi, So kama Huyo Mtoto EL kanyimwa ni kutokana na Ufisadi. Na Mara nyingi hawatoi taarifa kwa Umma kwa sababu za Ki-diplomasia, unless hiyo barua ipitie Foreign affairs au Wafanyakazi wa ubalozi wa-leak hiyo taarifa ndio sisi tutapata taarifa au muhusika mwenyewe awaambie wenzie au Shoga, Swahiba , watoto etc ndio taarifa zitaanza kutoka nje.
Ndio maana mafisadi wanajaribu kuwekeza Dubai.
Na tutarajie wengine kuwekewa hilo pingamizi au kikwazo.
 
Last time i checked serikali ya UK ilimnyima visa yule waziri/mbunge bwana MURUNGARI wa Kenya aliyetajwa sana kwenye GITHONGO dossier ambalo linaptikana hapa:

http://www.africafocus.org/docs06/git0602.php

lakini kitu ambacho waingereza walikisahau kuwa kwenye Jimbo lake bwana MURINGARU kule Rift valley kuna ma settlers wengi wakiingereza na kimya kimya waliondoa ule mkwara wao kwani Muringaru alifanya bonge la mkutano wa hadhara na akawapiga mkwara ile mbaya wale Wazungu

In short naweza kukufahamisheni kuwa Serikali ya UK inaendeshwa na rushwa za akina Abacha na wale ma Oligarchs toka Eastern Europe halafu leo na nyie mnakubali kama kweli wako serious kustamp out corruption Africa

Guys look at the bigger picture
 
Highlighted - wrong information.
 
GT

Bajeti ya UK sio sawa na credit card za wizi ambazo unaweza kuzikwapua. Abacha na hao Eastern Europe hawana chembe ya kulinganisha.
 
Back
Top Bottom