Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Kubwajinga wrote:
Nakubaliana na wewe. Kuna 'udaku' mwingine unafanya vichwa vijisugue kutoa mawazo. Kwa mfano nilikuwa na wazo lifuatalo;
Kwa nini tusipetition hizi balozi zilizopo TZ ili zote ziwanyime viza washukiwa wote wa Richmond, EPA, BOT n.k. mpaka hapo ukweli utakapojulikana? Maana serikali haijali kwa vile wengi waliomo ni wahusika otherwise wangeharakisha kuwanyang'anya pass zao kama walivyokuwa na haraka ya kuwatia ndani moderators wa JF. Waungwana mnasemaje??
Hiyo tunatatua wenyewe tu!
Cha kufanya ni kuwapokonya hati za kusafiria.
Watatuaji wenyewe ni sisi kwenye keyboard maana walio na rungu wote ni mafisadi. Kwa nini tusi-pertition wote wasiruhusiwe kutoka mpaka watakaporudisha pesa zetu na wahusika kuadhibiwa?