Wewe ushajivua u "Father of All".
Ushamtosa mwanako Lowassa.
Lugha hii haina sio tu rehema za ubaba, bali hata ubinadamu ulio duni kabisa ambao unatakiwa kuthamini maisha ya kila mja, hata Osama Bin Laden.
Ni mjinga wa tafakuri na taamuli aso majazi tu anayeweza kukufuru kwa upotovu ulioghilibika kifedhuli kwa hamaniko hivi.
Maneno haya yanatoka kwa mtu asiye na rekodi ya kumpenda Lowassa, lakini mwenye kupenda jaha za ubinadamu zaidi.
Well said mkuu, hii inanikumbusha mfanya biashara mmoja ambaye akitoa msaada kidogo anataka DUNIA nzima ijuwe - hii ndio hulka ya binadamu wenye political ambition za chini chini - wanatumia umasikini wa walala hoi na makanisa kujijenga kisiasa.Hivi marafiki zake walioko nyuma yake kuchangia makanisa mbona hawatajwi majina yao?
tatizo kila kitu tunaingiza siasa.!!Hivi ni kwamba watu hawajaonaga maajali ya watu walivyonusurika nini?
Haka kibarazo tu na ndiyo mnasema watu wamenusurika?
Usianze kwa kuiga, bali mchango wako utoke moyoniWaziri mkuu aliye jiuzulu Lowasa amenusurika kifo mkoani Morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.
Lowassa alikuwa akielekea Morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.
dah: inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,
ITV HABARI.
Mkuu naungana na Lole Gwakisa katika hili.
Aaa hana shabaha sijui aaaah!Huyo dereva wa basi naye bwana dah!!!! kavuruga historia huyu......
Yaaani......tungefuta kabisa kwenye kumbukumbu zetu.Madereva wengine bwana hawajui hata kulenga atiAaa hana shabaha sijui aaaah!
Huyu atakuwa muhimu kwako. I wish angepata mstuko wa uti wa mgongo, ili alale kitandani akiona 2015 mchakato utakavyopita bila ufisadi wake.
Mkuu naungana na Lole Gwakisa katika hili.
Hilo basi lingeingia kwa ndani kwa futi moja tu,hapo ungepata bonge la kishindo!
RIP Lowassa zingekuwa nyingi humu.