TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,202
Mkuu Tumbiri umeadimika sana jamvini
Mkuu Makamuzi,
Heshima mbele. Shule imebana sana Mkuu wangu. Huwa nachungulia tu humu mda wa kuchangia huwa sina. Hapa nilipo sasa hivi kuna desa nalikamua kimtindo nilipoona stimu zimepotea nimeamua nizifutue humu nikiendelea kulisoma. Pamoja sana Kamanda.
Salamu nyingi kwa Watanzania wenzangu.
Ujumbe: Endeleeni kuitwanga serikali, kuanzia Mtwara hadi Arusha. Kuanzia Kigoma hadi Morogoro. Kuanzia Mwanza hadi Mbeya, nk.
Last edited by a moderator: