crazyworld
Member
- Dec 13, 2011
- 42
- 9
.
Ashukuriwe Mungu kwa kukuokoa Lowasa.
Hivi kama Lowasa hakuwa fisadi haya majengo ya makanisa yangejengwa na nini?
Hela ya kifisadi tamu eti? hata miungu wanaimezea mate.
.
Kwenye nyekunduWaziri mkuu aliye jiuzulu Lowasa amenusurika kifo mkoani morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.
Lowasa alikuwa akielekea morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.
dah: inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,
ITV HABARI.
Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!
SIP (Stay in Peace) E LowassaMKONO wa MUNGU umekuepusha kwenye ajali, pole saana MH EL wala usiwe na mawazo ya kishetani ni ajali kama ajali zingine.
Hebu stretch imagination yako kidogo tu.inaoneka wana jf wengi kazi zenu sio za kusafiri safiri ndio maana mchubuko wa gari mnaita amenusirika kufa...ya mtu hata tone la damu halijamtoka mnatangaza amenusirika kufa.?
Alilazimishwa kujiuzulu na bosi wake ili kumlinda bosi wake huyo!Humo makanisani humo huyu bwana...!!! kheri yake kama kanusurika, afu hivi Lowassa alistaafu au alijiuzulu kwa kashfa!?
Ni muhimu kwako kwa sabab ameoa kwenu,hivi na akili zangu namshukuru Mungu kwasababu Lowasa hajafa?? We vp,Mungu mwenyewe atanishangaa nadhani hata huyo shemeji yako pia ataona mi wa ajabu.We sio greatthinker to say so Mh, huyu ni mtu muhimu sana kwa mustakabari wa nchi yetu sahivi...jifunze kuona mbali.
Mungu ashukuliwe kwa kuepusha hili
you made my day mkuu..
Ashukuriwe Mungu kwa kukuokoa Lowasa.
Hivi kama Lowasa hakuwa fisadi haya majengo ya makanisa yangejengwa na nini?
Hela ya kifisadi tamu eti? hata miungu wanaimezea mate.
.
Waziri mkuu aliye jiuzulu Lowasa amenusurika kifo mkoani morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.
Lowasa alikuwa akielekea morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.
dah: inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,
ITV HABARI.
Adimu sana mkuu vip kwema bimamu?inaoneka wana jf wengi kazi zenu sio za kusafiri safiri ndio maana mchubuko wa gari mnaita amenusirika kufa...ya mtu hata tone la damu halijamtoka mnatangaza amenusirika kufa.?
Mkuu bosi wake au kituko chake? Hakuna bos hapo hapo kuna kituko.Alilazimishwa kujiuzulu na bosi wake ili kumlinda bosi wake huyo!
Gari imeoneshwa kwenye tv imepigwa pasi kidogo tu maneno mengi utafikiri ilikuwa ajali ya kutisha