Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

gesi ni ya watanzania wote....ila mtwara wana haki ya kusikilizwa.
 
nadhani tatizo hapa si wana mtwara.tatizo ni serikali.serikali bado inatabia ya kuendekeza mambo ya kijinga kama ya wanamtwara.chadema nk.
 
Elimu gani zaidi. Wanayo, wametambua umuhimu wao upo sasa zaidi ya miaka 50 iliyopita
 
Wanaochochea itakuwa ni chadema tu, hakuna wengine.
Njomba, lakini cdm haina ushawishi ntwara. kwa nini kila kukicha unaota chadema?
Ushauri wa bure, pale mbaya wetu sote ni mliberali! Si unaona staili zenyewe za ki-el shabaab?
 
Njomba, lakini cdm haina ushawishi ntwara. kwa nini kila kukicha unaota chadema?
Ushauri wa bure, pale mbaya wetu sote ni mliberali! Si unaona staili zenyewe za ki-el shabaab?

Red brigade, kikundi cha ugaidi hamjakipeleka huko?
 
Naona kama umeadhirika na mafuta ya UBUYU!

Huwa najiuliza kama kweli ni Watanzania nyinyi? hivi hata hujui tofauti ya kuathirika na kuadhirika halafu unajidai wewe Kiswahili ni lugha yako ya Taifa? Pole sana.
 
elimu inaitajika kwa watu wa mtwara wengi awajasoma na inaonekana wamemezeshwa sumu kali.
 
elimu inaitajika kwa watu wa mtwara wengi awajasoma na inaonekana wamemezeshwa sumu kali. ( wamedanganywa kuhusu gas) serikali iwape elimu kwanza si kipigo
 
Wanaochochea itakuwa ni chadema tu, hakuna wengine.

KWELI WE ZOBA KAMA LILIVYO JINA LAKO KILA UKILISOMA NENO" CHADEMA" UNAWEWESEKA NA KUTOKA POVU OVYO.Eleza uhusika wa chadema ktk hilo sio porojo.
 
Serikali ya ccm maji yamefika shingoni,wawe wapole kwa wananchi labda maji yatapungua kina,otherwise mwana c wao.
 
KWELI WE ZOBA KAMA LILIVYO JINA LAKO KILA UKILISOMA NENO" CHADEMA" UNAWEWESEKA NA KUTOKA POVU OVYO.Eleza uhusika wa chadema ktk hilo sio porojo.
Likichaa hilo ni house boy la Mwigulu
 
mbona mwananchi comm. ltd hawajatoa hiyo breaking news??
 
Serikali ikiwa na macho imeshaona mara zote penye mafuta au gesi (energy resources) amani huota mbawa, imeshindwa kutafuta muda kukaa mezani na wana Mtwara kuwambia 1 2 3? Zanzibar nao walipopata mafuta walisema haihusu muungano. Bado meza iko wazi
 
Back
Top Bottom