Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

siasa za cuf na chadema zinachekesha sana ni uongo na vurugu tu wao wameona ndiyo mkombozi wao.

huko njiapanda kama jina lako,chadema na cuf wapi na wapi c ungeusisha ccm na cuf wenye ndoa rasmi.Ikome cdm haikuhusu mwanadamu we.
 
unawapaisha chadema tu kumbuka mbunge wanu ndo alishitakiwa na kule kuna mbunge wa cuf!

Huo u cuf uliniingiza wewe?

chadema siku zote si hawana ubunifu na huanzisha wenzao wakishaanza.
 
KWELI WE ZOBA KAMA LILIVYO JINA LAKO KILA UKILISOMA NENO" CHADEMA" UNAWEWESEKA NA KUTOKA POVU OVYO.Eleza uhusika wa chadema ktk hilo sio porojo.

Hujuwi kuwa sera ya chadema ni upiganaji?
 
Viva Wamakonde, kumasasi na kunewala
Habari wa jf nipo mjini Mtwara hapa,ktk kile kinacho dhihirisha kua wana Mtwara bado hawajakubaliana na hoja ya watawala kua gas iende Dar lori lililokua limebeba shehena ya mabomba ya gasi limeshambuliwa kwa mawe mara tu lilipoanza kuingia manispaa ya mikinda Mtwara mjini na dereva kujeruhiwa vibaya,
mpaka sasa lori hilo lipo kituo kikubwa cha polisi hapa Mtwara,
ni wiki moja tu imepita watu kazaa walikamatwa na polisi hapa Mtwara kwa kile kinachodaiwa kusambaza waraka wa kuhujum miundombinuu yote ya gas mara tu serikali itakapo anza utekelezaji wake wa ujenzi wa bomba hilo kupeleka Dar,
 
Huwa najiuliza kama kweli ni Watanzania nyinyi? hivi hata hujui tofauti ya kuathirika na kuadhirika halafu unajidai wewe Kiswahili ni lugha yako ya Taifa? Pole sana.

...ninyi
 
huo u cuf uliniingiza wewe?

Chadema siku zote si hawana ubunifu na huanzisha wenzao wakishaanza.

mbunge lindi mjini ni chama gani?
Chadema wanaingiaje kwenye uzi huu!?
 
Tusiishie kupongezana ujinga mitandaoni, tuwe tunaenda na kupeana 'HI' lupango.

Upuuzi wa watu wa Mtwara nitaupinga daima! Acheni uchawi na kujitenga, Mtwara haitabadilika kwa tabia zile zile hata mkipewa almasi.

nimeipenda hii broo
 
ah ah hawa watu wa mtwara wazembe sana, nawashaur frm mjifunze kutengeneza mabomu ya petroli, mkilinasa gari limeusika kwa vyovyote kt suala la gesi yenu mliteketeze kwa moto
 
Huwa najiuliza kama kweli ni Watanzania nyinyi? hivi hata hujui tofauti ya kuathirika na kuadhirika halafu unajidai wewe Kiswahili ni lugha yako ya Taifa? Pole sana.
Asante sana kwakunisahihisha ni ulimi uliteleza! Narudia tena kwa msisitizO - Naona kama umeathirika na mafuta ya UBUYU!
 
Kumbe chadema ni wacaga na wakristo, ahsante kwa kunijuza hilo.

Umesahau kwamba wewe ni mmoja wa watu mnaowaita chadema ni wachaga na wakristo? ndiyo maana huwa nasema kitengo chenu cha propaganda hakijajipanga au ni vilaza, unakumbuka mlivyo anza kamchezo ka kujivua gamba? baadaye mkagundua mmechemka sana sana tu mmemuweka katika hali tete Napeh na Lowwasa
 
Tusiishie kupongezana ujinga mitandaoni, tuwe tunaenda na kupeana 'HI' lupango.

Upuuzi wa watu wa Mtwara nitaupinga daima! Acheni uchawi na kujitenga, Mtwara haitabadilika kwa tabia zile zile hata mkipewa almasi.

labda upuuzi wao nini?
unajua madai yao au umaongozwa na hisia binafsi!
 
Back
Top Bottom