Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

Nnauhakika wewe huijui hii nchi na umezaliwa baada ya uwepo wa chadema.

Na wewe uachage kufikiri kwa makalio. Haya mambo ya kipuuzi ni zao la tamaa ya chama chenu cha magamba na mke wenu Liberal. CDM inahusika nini na yule Mhindi koko aliyewachochea wauza korosho wa stendi waandamane? Pathetic fool!
 
wewe ndo unahitaj elimu. mtawara kuna uwanja wa ndege, kunarel, kuna bandari. kunaviwanda. kama hvyo havikith huduma , nilvyotaja hapo viboreshwe kwa hzo fedha za mrad wa mabomba.
 
Pumbafu kabisa, hakuna maana katika hilo wether limetokea au halijatokea.
 
Mimi nayaona tu yanapita.
uploadfromtaptalk1374254713845.jpg
 
Hao wenye Almasi umeona maisha wanayoishi?! nenda kajionee mwenyewe na tathmimi, basi hata wadanganywe kwa kuarakisha ujenzi wa viwanda, vijana wapate ajira then ndio jamaa wapeleke mzigo Dar,Vinginevyo wale jamaa wa kanda hili kwa hali ya maisha wanayoishi ,ni lazima wapambane.
 
Wananchi wa mtwara wanakosea sana
cjui wabunge wao wanakazi gani badala ya kukaa na wananchi wao kuwaelewesha
ufinyu wa mawazo huo
wanadhani mitambo ikijengwa huko ndo wameuaga umaskini, kumbe sio!!

fanyeni kazi mtwara, acheni mambo ya ajabu

kwaiyo ikijengwa Dar nd'o watauaga umaskini?
 
i will support cdm in my whole life, hata zombe,radhia sweet mlie humu weeeeee watz washajanjaruka hamtupati ng'ooooh! Mkitupa pesa tunachukua
 
nadhani tatizo hapa si wana mtwara.tatizo ni serikali.serikali bado inatabia ya kuendekeza mambo ya kijinga kama ya wanamtwara.chadema nk.

Dah mkuu hapa umeniacha!!!! Ni as if ulitaka tu kutoa lako la moyoni kuhusu cdm!!!
 
Tusiishie kupongezana ujinga mitandaoni, tuwe tunaenda na kupeana 'HI' lupango.

Upuuzi wa watu wa Mtwara nitaupinga daima! Acheni uchawi na kujitenga, Mtwara haitabadilika kwa tabia zile zile hata mkipewa almasi.

umekurupuka mkuu, hakuna mpango wa kujitenga labda ungeelewa kwanza lengo la wao kupinga zoezi hilo.
 
Back
Top Bottom