Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Una uhakika kuwa wale waliomuua yule dada wa Itv hawakukamatwa??fuatilia vizuri wapo mahabusu siku nyingi sana!!!polisi wetu huwa wakiamua wanaweza sana,tatizo ni pale aliyekufa ni nani?!!kumbuka kifo kile cha RPC Baro kule mwanza!!
Chanzo?
 
Optography, or the idea that the eyes were able to record the last image that a person saw before death, was a widespread and popular “science” in the late 19th and early 20th centuries, albeit it has been debunked as a forensic method.
....'It has Been Debunked... Hata Askari wenyewe wameachana nayo baada ya kuiona Haifai!....Ndio maana hakuna Kesi ambayo imewahi kuamuliwa Kwa Ushahidi wa 'Picha' ilitoka kwenye macho ya Marehemu!... Imebaki Hollywood TU...!
 
Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.

Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.

Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.

Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
...Inawezekana aliandika hiyo Cheki ana akachikichia Hela! Huwezi kuua Mtu Kwa Kukataa kuandika Cheki... Lakini unaweza 'Kuua' Mtu Kwenye Dili la Bilioni..!!!
 
Back
Top Bottom