Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 2,060
- 1,869
Huyu ndio neema
Nakuaminia mtaalam mm nilitaka tukio nitakuchek DmNi rahisi sana kuwaachia manyoya watu wa cyber kwa kutumia mawasiliano ,issue nyingine hazifai kuziweka wazi maana zitachochea uhalifu ,bora waendelee kuacha traces ili wawe wanadakwa.
Toeni ajira Kwa watoto wangu SSIT hapo kwanza kama shart la kutumia mizimu yangu niwatajie Kila kituEmbu tupia latest ubongo upate chakula chake
Lakini Baba hakusema wamezaliwa wawili tu.Yes ana mdogo wake na pia anaweza kuwa na dada na kaka wakubwa pia.Na baba yake kasema hilo ana ndugu yake ni mdogo wake alitaka kumpa figo dada yake
KweliLakini Baba hakusema wamezaliwa wawili tu.Yes ana mdogo wake na pia anaweza kuwa na dada na kaka wakubwa pia.
KuhusuUnajidanganya
NdioRaha gani? Kukata mikono watu na kupiga mawe wazinzi?
Kuna nn mkuu ebu fungukaUKIANGALIA HADI PICHA KWA JENEZA UNAGUNDUA KUWA HAKUWA NA MAVAZI NDIO MAANA SURA YAKE YA NAMNA HIIII HAIPO.
SASA KWA TAARIFA ZENU NINAUWEZO MKUBWA WAKUSOMA SURA MTU AMBAYE ALISHAWAHI KUTANA NA SURA KAMA HII ATAKUWA KAGUNDUA JAMBO View attachment 2550293
Wewe ni mtu wa karibu sana na hii familia sema tu hutaki kuleta ubuyu.
Ila Mkuu huwoni Tamaa na watu kutaka maisha ya juu ni chanzo cha mauwaji mengi kama ninavyosoma kwenye machapisho mengiGone too soon![]()
Hakuwa muhasibu,alikuwa ofisa mikopoHakuna ulicho kiacha kama ni haki pasina konakona,wiki ni nyingi sana kupatikana hao watu.Ikumbukwe Huyo ni mhasibu ana kalia koneksheni nyingi za watu,lakini usije shangaa zikaja story za wivu wa mapenzi.
Ni maoni tuu
Kweli inawezekana kazi ndo imemuondoaDoooohhh mimi niliwaza kivingine kwamba kama aliwarusha kifedha wenzake kazini baada ya kupiga deal ,kumbe kwa hapa inaonekana alikataa kupiga deal.
Yaani ukifuatisha series ya matukio yake kabla ya kifo lazima utajua kwamba chanzo cha kifo ni issue za kazi tu....Kitendo cha kuacha kazi mwezi mmoja then linatokea hilo tukio obvious utajua issue ni nini.
Kama dhuluma ni sawaDondoo za awali, ni kisasi kutokana na dhulma,
CCTV camera za kanisani hazimuliki mpaka barabaraniPale kanisani kama kuna camera waanzie hapo, alipotoka nje aliongea na nani au alipanda gari gani? hii kesi inaonekana ni rahisi ,lakini kama ni wale polisi waliotaka kuongea na dereva kwanza ili wafanye uchunguzi pale Dodoma sina imani kabisa
EheDondoo za awali, ni kisasi kutokana na dhulma,