Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Yaani sura sioi imekaa kijambazi fulani labda nimtafune na inaonekana Ni hela tu inataka. Iende USA , Sydney,Paris otherwise itajioa
Mimi nishakula pisi ya kufanana na hii hamna maajabu apo na nilii trap using some cash kibunda nilichoproduce kwa ajili ya kuipa some kilinyakua chote nikakisisitizia kiniachie ata noti mocha tu kikasema vikoba aise nikafanya some effort ila sikuweza nikaiacha tu... Conclusion ikawa awa ni as beautiful as coiled cobra admire it from far or sustain a bite...

Ata i dont feel pity for Martha. My gut strongly tells me she had it coming. She screwed somebody so he/she replied in kind
 
Kwa hii hapa inawezekana ilikuwa watoe pesa Halali bank halafu waingize fedha haramu same amount. Na niwaambie branches lazima pia zina signatories na huenda Martha alikuwa mmoja wao na alikataa kupitisha hiyo bank transfer. Hivyo kwenye maofisa signatories wanatoka kwenye branch Management. Hatujui mengi ila Kigogo ni hatari Sana huwa mara nyingi hakosei issues zake. Ngoja tusubiri.
Hebu ifafanue vema hii Zogwale
 
Hii Ni ishu ya mahusiano kwa hisia zangu, pia sio kuwa ndizo ziko sahihi Mana hapa navyojua wanaume tukishakuwa na hela isiyo na mawazo kinachofuata Ni Bata
 
as beautiful as coiled cobra admire it from far or sustain a bite...
 
Said Said Athumani castmmakea wa tra yeye na Genge lake ndio wanahusika na mauaji ya huyu Bint ambae Biashara yake kubwa Said nikaitengeneza Not Bandia
dada alikuwa anafanya kazi BOA,nasikia alikuwa ni Afisa mikopo shinyanga wakamtaka aache kazi in 24 hrs akakubali,akaja kwa wazazi wake Kibaha kwa mbonde,siku ya ijumaa iliyopita jioni alikuwa kanisani kkkt Tumbi
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft99%2F1.5%2F16%2F1f62d.png&hash=2a77f6d6a0d5d87c2e59e7428567f98c" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />

akapigiwa simu au akatumiwa msg na mtu kwamba anamzigo wake amwelekeze alipo amletee ndo akamwelekeza walipofika akamwachia mama yake simu akatoka kumfuata ndo akatekwa akapelekwa mpaka msitu wa mbande Kama sikosei wakamchoma sindano na wakamchoma Moto wakamwacha ndo akajitahidi kukimbia mpaka kwa mama mmoja ndo wakamsaidia akataja no za baba yake,alikimbizwa Tumbi Kisha mloganzila mwisho akapelekwa muhimbili akakaa ICU mpaka alipofariki jtano, watu wakaaga mwili wake.
Kifo cha namna hii kinapaswa kiliume taifa toka juzi wauaji hawakamatwi,na no zao za cm zipo walizompigia na kumuita atoke nje, na Baadae kumteka hii inafanyika kutokana na nguvu za fedha alizonazo Said wa tra
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft99%2F1.5%2F16%2F1f62d.png&hash=2a77f6d6a0d5d87c2e59e7428567f98c" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft99%2F1.5%2F16%2F1f62d.png&hash=2a77f6d6a0d5d87c2e59e7428567f98c" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft99%2F1.5%2F16%2F1f62d.png&hash=2a77f6d6a0d5d87c2e59e7428567f98c" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
na Samia hataki kumuondoa huyu mtu licha ya tuhuma hadi za kuteka watoto nakuwatoa kafara zikimuandamana mtu huyu

nimeitoa kwa kigogo kigogo wa facebook , huyo jamaa SS Athumani wanadai anafanya kazi TRA ndio genge lao lenye hio ishu ya Martha.
na Samia hataki kumuondoa huyu mtu licha ya tuhuma hadi za kuteka watoto nakuwatoa kafara zikimuandamana mtu huyu
 
Hii Ni ishu ya mahusiano kwa hisia zangu, pia sio kuwa ndizo ziko sahihi Mana hapa navyojua wanaume tukishakuwa na hela isiyo na mawazo kinachofuata Ni Bata
Hii ni ishu ya hela. Kama ni mahusiano ni kidogo sana. Mchumba wake nilikuwa namuonaga siku nyingi kwenye startup ya masuala ya kilimo. Anabuni mashine za kupiga mtama na uwele.

Labda useme kala hela ya mtu kisha karudi kwa mpenzi wake wa zamani ili akaolewe naye.

Ila kiufupi huko benki huwa kuna madili mengi ya hela ndefu na ya hatari sana.
 
Hapo mwisho ndio nimemaanisha. Anaishi na mwingine huko job anamwambia hajaolewa kumbe anamkula mbolea so ikiisha kabisa anarudi zake ama anazingua ili waachane Mana
 
Sustain a bite you see... The problem to this bitting cobra is when na wewe ni honey badger apo ndo itajua haijui
Shida yenyu vijana mnapenda sana pisi kali, date with underground infamous chicks you will be safe all the way with less coins to ditch!
 
Wa Tz wengi huwa wakisikia mtu kauwawa wanakimbilia kwenye suala la mapenzi na kama marehem alikua na mgogoro na mpenzi wake wanahitimisha kuwa muuaji ni mpenzi wake huo ni udhaifu mkubwa ambao wahalifu wengi wanautumia kama cover ya kutekeleza uhalifu bila kupatikana na baadae wanabambikiwa kesi watu wengine kutokana na ushahidi unao lazimishwa na jamii.

Kesi hii siyo rahisi na ikichukuliwa ni kitu rahisi kuna hatari kubwa ya watu kubambikiwa kesi, kwenye kesi kama hii ukishakamata watu 20 kama ulivyo shauri Kuna uwezekano mkubwa wa ushahidi kuharibika na kuwaingiza kwenye hatia watu wasio na hatia maana unao wakamata siyo wote ni wahusika, wahusika waliobaki nje wanaweza kutengeneza ushahidi fake wa kimazingira kuwabambikia wahusika walio kamatwa ambao hawajahusika ili wao wahalifu wawe salama.

Kila mtu anatakiwa ajue wauaji hawa hawakua wazembe hata kidogo na siyo rahisi kuacha ushahidi kuwa wao ndo wametenda, kilicho muua marehemu siyo moto hiyo yote ni katika harakati za kupoteza ushahidi, kwahiyo hata ukisema simu ichunguzwe Kuna uwezekano mkubwa ikawa siyo rahisi hao wahalifu kuwa walitumia simu zao kutekeleza haya mauaji.
Tuache unguzi uendelee maana kesi ya mauaji inahitaji ushahidi uliokamkamilika usio na shaka, kwenye mauaji kazi siyo kumtuhumu mtu kazi ni kumuunganisha Mtuhumiwa na ushahidi, wanachofanya wahalifu ni kuharibu ushahidi ili iwe ngumu kwao kuunganishwa na tukio
Wa Tz wengi huwa wakisikia mtu kauwawa wanakimbilia kwenye suala la mapenzi na kama marehem alikua na mgogoro na mpenzi wake

Hili ni. Zimwi
 
Kila mtu anatakiwa ajue wauaji hawa hawakua wazembe hata kidogo

Una HOJA professional Killers hao
 
Kabisa mkuu. Nilichofurahi ni kwamba simu za marehemu Martha zote aoiziacha kwenye handbag ndiyo akatoka nje ya kanisani. Hivyo ziko safe kwa ajili ya KAZI. Pili wauaji waliacha kwenye tukio vifaa vyote walivyotumia ikiwemo vichupa vya inayoaminika sumu, viatu vya marehemu na vitu vingine kadhaa. Hivi vyote ni mpango wa Mungu ili kuwakamatisha. Yaani upelekezi wamerahisishiwq mno. Maana register au niite barcode ya hizo sumu zitasoma na zitaanza tracing pia kuanzia kiwanda, manunuzi WA Kwanza mpaka wa mwisho. Washenzi hao Ngoja kinukishwe Mazima.
mpango wa Mungu

Mshaanza wasabato
 
Chanzo cha yeye kuacha kazi ni nini? Je walimpima kugundua kama alipewa sumu?

Kwanini arudi kwao ndio tukio litokee?
Ukijaribu kuunganisha dots utaona fika plan ya tukio zima limeanzia huko shinyanga na kuja kuhitimishwa huko kibaha.

Na watekelezaji inawezekana wametokea pia huko huko shinyanga ndio maana walikuwa na uwezo wa kumteka na kumpeleka kumuua.

Haki itendeke juu ya kifo cha marehemu.
Mwenyewe nahisi mpango mzima ulianzia huko shinyanga. Nasikia alikuwa afisa mikopo
 
Kwa hii hapa inawezekana ilikuwa watoe pesa Halali bank halafu waingize fedha haramu same amount. Na niwaambie branches lazima pia zina signatories na huenda Martha alikuwa mmoja wao na alikataa kupitisha hiyo bank transfer. Hivyo kwenye maofisa signatories wanatoka kwenye branch Management. Hatujui mengi ila Kigogo ni hatari Sana huwa mara nyingi hakosei issues zake. Ngoja tusubiri.
Hapa umeelezea vizuri sana, na huko kahama kuna pesa mingi za madini kwahio kuingiza pesa haramu na kutoa halali ingewezekana, labda alikataa wakaona isiwe tabu. Kama ni hivyo atakua alishakula zingine kwa mtindo huu labda alikua kashiba sasa.
 
Back
Top Bottom