El Mincho
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,935
- 4,309
Alikua KISU kweli kweli daah watu wana roho mbaya sana.RIPHuyu ndio neemaView attachment 2550444
Alikua KISU kweli kweli daah watu wana roho mbaya sana.RIPHuyu ndio neemaView attachment 2550444
Kabisa mkuu. Nilichofurahi ni kwamba simu za marehemu Martha zote aoiziacha kwenye handbag ndiyo akatoka nje ya kanisani. Hivyo ziko safe kwa ajili ya KAZI. Pili wauaji waliacha kwenye tukio vifaa vyote walivyotumia ikiwemo vichupa vya inayoaminika sumu, viatu vya marehemu na vitu vingine kadhaa. Hivi vyote ni mpango wa Mungu ili kuwakamatisha. Yaani upelekezi wamerahisishiwq mno. Maana register au niite barcode ya hizo sumu zitasoma na zitaanza tracing pia kuanzia kiwanda, manunuzi WA Kwanza mpaka wa mwisho. Washenzi hao Ngoja kinukishwe Mazima.Watakamatwa kirahisi sana, unajua hapa watu wanafikiri ni simu tu ndio inakamatisha mtu/watu, kiupelelezi hii issue yote ya mpango wa mauaji inahitaji logistics, sasa polisi wakisha wanasa watu wawili- "persons of interests" wanaoshukiwa basi mlolongo wote utadakwa kupitia transactions za bank, wakala,vituo vya mafuta walipoweka petrol na hata atm waliotolea pesa n.k. technology ni mfumo waliouweka mabeberu kucontrol watu.. ukitaka usipatwe achana nayo kabisa na hio ni ngumu sana, Osama Bin Laden alijaribu lakini walimnyaka itakua hao wauaji uchwara ambao hata mpango wao umefeli mazima maana target kaishi siku 6 nzima.That's a failed plot kwa tuliosomea Korea tunaelewa hili.
Tuombe wasiwe wapelelezi wa kesi ya Lisu tu maana bado wanasubili ushahidi wa Lisu na dereva wake, Sasa huyu amekufa ushahidi wataupata wapi?😎😎Kabisa mkuu. Nilichofurahi ni kwamba simu za marehemu Martha zote aoiziacha kwenye handbag ndiyo akatoka nje ya kanisani. Hivyo ziko safe kwa ajili ya KAZI. Pili wauaji waliacha kwenye tukio vifaa vyote walivyotumia ikiwemo vichupa vya inayoaminika sumu, viatu vya marehemu na vitu vingine kadhaa. Hivi vyote ni mpango wa Mungu ili kuwakamatisha. Yaani upelekezi wamerahisishiwq mno. Maana register au niite barcode ya hizo sumu zitasoma na zitaanza tracing pia kuanzia kiwanda, manunuzi WA Kwanza mpaka wa mwisho. Washenzi hao Ngoja kinukishwe Mazima.
marehem nae analikua ana edit picha kukuza wowowo naona pazia na chuma vime pinda. Ngoja nikale mimi marehem hasemwiNeema au marthaView attachment 2550453View attachment 2550454
Hahahaha kweli maana picha ya kwenye msalaba wa kaburi anaonekana pasi kubwa tu kama yangumarehem nae analikua ana edit picha kukuza wowowo naona pazia na chuma vime pinda. Ngoja nikale mimi marehem hasemwi
Hiki kitu ni mojawapo ya vitu hatari kwa muumini aliyeenda Kanisani. Una akili sanaUle ushauri wa usiondoke kanisani kabla ya ibada kuisha, wakati mwingine huwa na maana
Wauaji wazoefu huwa wanafanya makosa ya makusudi pia ili kuharibu kesi anaweza kudondosha kitambulisho kisicho chake eneo la tukio, na mbinu zingine nyingi ambazo haipendezi kuzitaja lakiniKabisa mkuu. Nilichofurahi ni kwamba simu za marehemu Martha zote aoiziacha kwenye handbag ndiyo akatoka nje ya kanisani. Hivyo ziko safe kwa ajili ya KAZI. Pili wauaji waliacha kwenye tukio vifaa vyote walivyotumia ikiwemo vichupa vya inayoaminika sumu, viatu vya marehemu na vitu vingine kadhaa. Hivi vyote ni mpango wa Mungu ili kuwakamatisha. Yaani upelekezi wamerahisishiwq mno. Maana register au niite barcode ya hizo sumu zitasoma na zitaanza tracing pia kuanzia kiwanda, manunuzi WA Kwanza mpaka wa mwisho. Washenzi hao Ngoja kinukishwe Mazima.
Watasema kuwa wanaonewa wivu Mana wamesoma na hela wanazo mkuu.Careful. Tread careful!
Remember this girl was not a SAINT ndio maana in the long run akajikuta in that spot... So untimely!
Wachaga wana nini...? Every now and again wao tu ndo wanauwawa au kuuana in a very satanic model... E.g gunia la mkaa kule kigamboni, bastora sinza, kuchomwa kwa petrol kimara kama uyu tu alivyokua drugged and set to flame by employing flammable liquid dah u know the killer alikusudia... FIRST DEGREE MURDER u know!
As beautiful as a coiled cobra... Am sure this damsel ubaya aliuanza yeye but the other side wasn't lazy at returning the favor.
Rest in peace.
Hii imetengenezwa kutuaminisha visivyo. Sibiri ukweli ujitokeze.Si mmesikia kisa cha yule mchaga wa kibaha? Afisa loan kilichotokea jana? Mfanyakazi wa benk ya zamani tawi la kwa wale wenzentu wasukuma? Enyi wanawake waruka njiani acheni utapeli wa kipuuzi pesa ya mwanaume hailiwi bure ona kilichomtokea mwanamke mwenzenu ujanja wa kibwege umemfanya wamrest in peace
Nikiwa mmoja wa majirani na close friend wa kusoma na kuhitimu school moja pale Tumbi wa yule mrembo nilimtahadharisha mapema Aache hiyo tabia yake ya kula pesa za wanaume ila kwa ujinga na ujuha akuwahi kunikisikia akaniona chizi ona sasa walivyo mrest in peace kwa sumu na then wakamburn na.Wanawake waruka njia acheni ujanja ujanja pesa za wanaume haziliwi bure dadeki mbadilike sasa nasemaje yule mruka njiani wangu naenda kumburn
Hakuweza kupata mpambanaji Kama yeyeKwa tafsiri ya kutokuwa na mtoto na kutoolewa.... Maana hata baba yake alikuwa anamu address kwa hadhi ya 'binti'
Majivuno aka ego Ni asili ya binadamu. Huwezi itenganisha na binadamu labda afe,sawa na tamaa ,hofu ama wivu pale anapokuwa amezidiwakujivunia
Yaani sura sioi imekaa kijambazi fulani labda nimtafune na inaonekana Ni hela tu inataka. Iende USA , Sydney,Paris otherwise itajioaUKIANGALIA HADI PICHA KWA JENEZA UNAGUNDUA KUWA HAKUWA NA MAVAZI NDIO MAANA SURA YAKE YA NAMNA HIIII HAIPO.
SASA KWA TAARIFA ZENU NINAUWEZO MKUBWA WAKUSOMA SURA MTU AMBAYE ALISHAWAHI KUTANA NA SURA KAMA HII ATAKUWA KAGUNDUA JAMBO View attachment 2550293
People are fighting to get money,sex and power and nothing else hapa duniani mkuu. Unaweza ukaleta hoja. Ila hizo ndizo watu wanauana Basi Mambo mengineWa Tz wengi huwa wakisikia mtu kauwawa wanakimbilia kwenye suala la mapenzi na kama marehem alikua na mgogoro na mpenzi wake wanahitimisha kuwa muuaji ni mpenzi wake huo ni udhaifu mkubwa ambao wahalifu wengi wanautumia kama cover ya kutekeleza uhalifu bila kupatikana na baadae wanabambikiwa kesi watu wengine kutokana na ushahidi unao lazimishwa na jamii.
Kesi hii siyo rahisi na ikichukuliwa ni kitu rahisi kuna hatari kubwa ya watu kubambikiwa kesi, kwenye kesi kama hii ukishakamata watu 20 kama ulivyo shauri Kuna uwezekano mkubwa wa ushahidi kuharibika na kuwaingiza kwenye hatia watu wasio na hatia maana unao wakamata siyo wote ni wahusika, wahusika waliobaki nje wanaweza kutengeneza ushahidi fake wa kimazingira kuwabambikia wahusika walio kamatwa ambao hawajahusika ili wao wahalifu wawe salama.
Kila mtu anatakiwa ajue wauaji hawa hawakua wazembe hata kidogo na siyo rahisi kuacha ushahidi kuwa wao ndo wametenda, kilicho muua marehemu siyo moto hiyo yote ni katika harakati za kupoteza ushahidi, kwahiyo hata ukisema simu ichunguzwe Kuna uwezekano mkubwa ikawa siyo rahisi hao wahalifu kuwa walitumia simu zao kutekeleza haya mauaji.
Tuache unguzi uendelee maana kesi ya mauaji inahitaji ushahidi uliokamkamilika usio na shaka, kwenye mauaji kazi siyo kumtuhumu mtu kazi ni kumuunganisha Mtuhumiwa na ushahidi, wanachofanya wahalifu ni kuharibu ushahidi ili iwe ngumu kwao kuunganishwa na tukio
Nakubaliana na wewe mkuu. Forensic pia itatumika kujua mdondoshaji wa hivyo vitu. Siku hizi hata ukiva gloves kama siyo special kwa forensic inakusoma. Mpaka viatu siku hizi inasoma!!!!!! Niishie hapo. Master mind apapatikana tu na chain nzima. Kama TanPol wako serious. Ila najua piga ua lazima familia ihakikishe upelekezi wa Uhakika unafanyika. Watagharamia nakuhakikishia. Na Viongozi wakubwa tu kwenye unit watahusika kupeleleza hili jambo.Wauaji wazoefu huwa wanafanya makosa ya makusudi pia ili kuharibu kesi anaweza kudondosha kitambulisho kisicho chake eneo la tukio, na mbinu zingine nyingi ambazo haipendezi kuzitaja lakini
Tunarudi palepale kwenye mauaji kazi siyo kumtuhumu mtu kazi ni kumuunganisha Mtuhumiwa na ushahidi usio na shaka.
Said Said Athumani castmmakea wa tra yeye na Genge lake ndio wanahusika na mauaji ya huyu Bint ambae Biashara yake kubwa Said nikaitengeneza Not BandiaNakubaliana na wewe mkuu. Forensic pia itatumika kujua mdondoshaji wa hivyo vitu. Siku hizi hata ukiva gloves kama siyo special kwa forensic inakusoma. Mpaka viatu siku hizi inasoma!!!!!! Niishie hapo. Master mind apapatikana tu na chain nzima. Kama TanPol wako serious. Ila najua piga ua lazima familia ihakikishe upelekezi wa Uhakika unafanyika. Watagharamia nakuhakikishia. Na Viongozi wakubwa tu kwenye unit watahusika kupeleleza hili jambo.
Kwa hii hapa inawezekana ilikuwa watoe pesa Halali bank halafu waingize fedha haramu same amount. Na niwaambie branches lazima pia zina signatories na huenda Martha alikuwa mmoja wao na alikataa kupitisha hiyo bank transfer. Hivyo kwenye maofisa signatories wanatoka kwenye branch Management. Hatujui mengi ila Kigogo ni hatari Sana huwa mara nyingi hakosei issues zake. Ngoja tusubiri.Said Said Athumani castmmakea wa tra yeye na Genge lake ndio wanahusika na mauaji ya huyu Bint ambae Biashara yake kubwa Said nikaitengeneza Not Bandia
dada alikuwa anafanya kazi BOA,nasikia alikuwa ni Afisa mikopo shinyanga wakamtaka aache kazi in 24 hrs akakubali,akaja kwa wazazi wake Kibaha kwa mbonde,siku ya ijumaa iliyopita jioni alikuwa kanisani kkkt Tumbi![]()
![]()
akapigiwa simu au akatumiwa msg na mtu kwamba anamzigo wake amwelekeze alipo amletee ndo akamwelekeza walipofika akamwachia mama yake simu akatoka kumfuata ndo akatekwa akapelekwa mpaka msitu wa mbande Kama sikosei wakamchoma sindano na wakamchoma Moto wakamwacha ndo akajitahidi kukimbia mpaka kwa mama mmoja ndo wakamsaidia akataja no za baba yake,alikimbizwa Tumbi Kisha mloganzila mwisho akapelekwa muhimbili akakaa ICU mpaka alipofariki jtano, watu wakaaga mwili wake.
Kifo cha namna hii kinapaswa kiliume taifa toka juzi wauaji hawakamatwi,na no zao za cm zipo walizompigia na kumuita atoke nje, na Baadae kumteka hii inafanyika kutokana na nguvu za fedha alizonazo Said wa tra![]()
na Samia hataki kumuondoa huyu mtu licha ya tuhuma hadi za kuteka watoto nakuwatoa kafara zikimuandamana mtu huyu![]()
![]()
![]()
![]()
nimeitoa kwa kigogo kigogo wa facebook , huyo jamaa SS Athumani wanadai anafanya kazi TRA ndio genge lao lenye hio ishu ya Martha.
Said Said Athumani castmmakea wa tra yeye na Genge lake ndio wanahusika na mauaji ya huyu Bint ambae Biashara yake kubwa Said nikaitengeneza Not Bandia" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft99%2F1.5%2F16%2F1f62d.png&hash=2a77f6d6a0d5d87c2e59e7428567f98c" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1">
dada alikuwa anafanya kazi BOA,nasikia alikuwa ni Afisa mikopo shinyanga wakamtaka aache kazi in 24 hrs akakubali,akaja kwa wazazi wake Kibaha kwa mbonde,siku ya ijumaa iliyopita jioni alikuwa kanisani kkkt Tumbi" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft99%2F1.5%2F16%2F1f62d.png&hash=2a77f6d6a0d5d87c2e59e7428567f98c" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1">" title="
" width="" height="" />
" title="
" width="" height="" />
akapigiwa simu au akatumiwa msg na mtu kwamba anamzigo wake amwelekeze alipo amletee ndo akamwelekeza walipofika akamwachia mama yake simu akatoka kumfuata ndo akatekwa akapelekwa mpaka msitu wa mbande Kama sikosei wakamchoma sindano na wakamchoma Moto wakamwacha ndo akajitahidi kukimbia mpaka kwa mama mmoja ndo wakamsaidia akataja no za baba yake,alikimbizwa Tumbi Kisha mloganzila mwisho akapelekwa muhimbili akakaa ICU mpaka alipofariki jtano, watu wakaaga mwili wake.
Kifo cha namna hii kinapaswa kiliume taifa toka juzi wauaji hawakamatwi,na no zao za cm zipo walizompigia na kumuita atoke nje, na Baadae kumteka hii inafanyika kutokana na nguvu za fedha alizonazo Said wa tra" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft99%2F1.5%2F16%2F1f62d.png&hash=2a77f6d6a0d5d87c2e59e7428567f98c" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1">" title="