Josemzampola
Member
- Mar 6, 2023
- 78
- 97
Huyu baba ana uchungu mwingi hadi anachoongea kimekuwa disorganised
Basi taarifa ya kwanza kuhusiana na kifo chake ina mapungufu makubwa kwakuwa anatambulishwa kama mfanyakazi ngazi ya uhasibu bank ya BOA Shinyanga/Kahama
Taarifa ya Jeshi la Polisi Kibaha
JESHI la Polisi mkoani Pwani limesema mhasibu wa benki ya BOA tawi la Kahama ameuawa kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto.
Inadaiwa kwamba mhasibu huyo alikuwa amefika Kibaha kwa wazazi wake.
Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Pius Lutumo amemtaja marehemu ni Martha Towo (30) mkazi wa Kwa Mbonde wilayani Kibaha.
Kamanda Lutumo aliwaeleza waandishi wa habari mjini Kibaha jana kuwa chanzo cha mauaji hakijafahamika na wanaendelea kuchunguza.
Inadaiwa kuwa Martha alitekwa jioni ya Machi 3 mwaka huu na saa 4:30 usiku siku hiyo hiyo alikutwa akiungua katika maeneo ya Mitamba Kata ya Pangani.
“Watu wasiojulikana walimteka kisha kummwagia mafuta na kumchoma moto,” alisema.
Kamanda Lutumo alisema taarifa zilitolewa na wasamaria polisi wakafika eneo la tukio na kumchukua kisha kumpeleka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani ya Tumbi.
“Mgonjwa alihamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa uangalizi zaidi wa kimatibabu lakini alifariki Alhamisi Machi 9,” alisema.
Lutumo alisema kutokana na utata kuhusu tukio hilo, polisi wanaendelea kuchunguza chanzo cha Martha kutekwa na kuchomwa moto hadi akapoteza maisha.
Halafu ndio imeongezewa hii[emoji1541]
Wakati Jeshi la Polisi mkoani Pwani likithibitisha kutokea kwa kifo cha Martha Towo (30) ambaye aliuawa kwa kuchomwa moto baada ya kutekwa usiku wa Machi 3 mwaka huu wilayani Kibaha mkoani Pwani, Bank of Afrika (BOA) imesema, marehemu alishaacha kazi karibu mwezi mmoja uliopita
hivi kwanza cheki bado zipo kwa transaction kubwa hivyo?Afisa mikopo hawezi kusign cheque lazima iende kwa meneja wa tawi
kahama ni branch ndogo yenye trans kubwa may be kuliko branch zote zq BOACheque ya 1bn inaandikwa na meneja na hiyo cash kutoka mpka makao makuu wanakua wanajua..kwa afisa mikopo wa branch ndogo kama kahama sidhani kufanyika hilo
Na wanawajua vizuri hao majambazi ,nikazi yakuita mmoja baada ya mmoja na kuwambia tusaidiane wapatikane wahusikaPolisi kesi kama hizi hawalali mpaka kieleweke ...
Hapo wanakaa watu wanne mezani, kila mmoja na karatasi nyeupe na penseli sio kalamu ya wino, then kuna mtu wa tano hua anitwa analyst anakua anaeleza kutokea kwanza shinyanga yule mtu aliishije huko, atakuja analyst wa pili wa kibaha ataeleza wale wanne watandelea kuchora michoro ya penseli kila mtu kivyake, halafu baadae kuna kitu tunaita added information hizi hutoka idara mbalimbali ikiwamo labda TISS , nazo zinachorwa wakati huo wahisiwa wa mwanzo walishakamatwa muda mrefu yaani afisa upelelezi jeshi la polisi wilaya atashirikiana na RCO na RSO wake issue mapema mchana kweupe baadhi ya waliokamatwa watafirwa na kufinywa mapumbu hapo anti robery ndio watahusika na zoezi ay watapigwa shot za matakoni hadi mambo yataisha within 30 days kesi mahakamani tayari upelelezi utaendelea kukamilishwa taratibu kwa kuua mawasiliano ya wahusika mmoja baada ya mwingine hadi wajichuje wenyewe kama kuku wenye mdondo pumbavu zao, wahalifu hao wa huyo binti
Tunu towo kwao ni arusha na wamezaliwa dada wawili na kaka mmoja,mdogo wa tunu wa kike ni lawyer ana ofisi yake ya sheria arusha.Dada yake anaitwa tuno towo kavishe
Huyo mumewe kavishe alikuwa anafanya kazi airtel,ni mdogo wake na kavishe wa TBL
Sasa huyo tunu alikuwa muajiriwa wa bank miaka ya nyuma,alipiga mpunga mrefu sana akahonga mahakimu kesi ikafutwa,yeye na mumewe sasa wametakatisha zile pesa wanabiashara kibaoo mjini hapa
Polisi!! Wa wapi?Polisi kesi kama hizi hawalali mpaka kieleweke ...
Hapana naijua sana hiyo branch iko kwenye jengo la posta,bank zenye nguvu kahama ni crdb na nmb...wauza dhahabu,mazao,waganda ndio wateja wenye cash kubwa hapo kahama.2019 nlikua na hudhuria sana hapo boa kibiashara hakuna ubusy wowotekahama ni branch ndogo yenye trans kubwa may be kuliko branch zote zq BOA
Kuna asilimia nyingi sana huyu bibie alipiga mshindo halafu kawazunguka wenzake..... nadhani pia polisi wataangalia namna alivyoacha kazi.Mzee wake alisema kwamba Martha aliacha kazi kama siku chache zilizopita na kuanza kufanya shughuli zake ,waanzie pia kazini kwake huenda alipiga mshindo akawarusha wenzake na inaoenekana alikuwa mtu wa madili mengi maana mzee wake anasema alikuwa na mali.
Kama alivyosema mshana ,case hii ni very simple kwa wapelelezi maana ina alama nyingi sana za kufatilia wahusika wa mauaji.
Ni mchaga na yeye??Huyu kuna kitu alikifanya kwa mwenzie huko Shinyanga sema alietendewa hakutaka kumuachia Mungu akaamua kufanya retaliation. Huenda ni kwa mwanaume wake au kwa co-workers wenzake.
Alipangiwa Revenge mission kabisa na inaonesha mtu aliyetekeleza hilo alikuwa anamjua kabisa na kashasoma mazingira ya kwao so akaamua kuwapanga wajuba.
Ukiangalia psychologically aspects mzee wake kumuita binti yake kuwa alikuwa mpambanaji has a lot to do na tabia zake. Wanawake wengi wapambanaji wana ile aptitude ya "Getting it regardless" na "Wacha iwe mbaya tu" which means in case I we kwenye maslahi atahakikisha anagrab benefits zote pekeyake na kama atashindwa basi ataharibu. Hii spirit iko kwa watoto wengi wa kichaga.
White magic inatumikaje kumnasa mhalifu? Toa elimu embuKiintelenjensia.
Hakuna muhalifu yeyeto Smart ni lazima ataacha tu alama pa kuanzia. Watu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu.
Hapo pa kuanzia ni sehemu mbili tu ishu ya mapenzi au kazini. Tap call zake zote kuanzia siku ya tukio rudi nyuma hata miezi 3 ukizisikiliza zitakupa starting point na lazima utampata tu muuaji.
Ipo hivi, Kabla ya mauaji huwa ni lazima mawasiliano ya simu uwepo yakiwa na nia ya urafiki na sio hitimisho la mauaji, mauaji huja baada ya kushindwa kufikiana kwa muafaka. Kosa kubwa la wauaji ushindwa kutambua back walitumia simu kuongea.
KWA hili unaweza tumia
1.Technologia ya mawasiliano kupitia call recording
2.White magic pia ukupa picha ya tukio zima.
Ukimsikiliza baba yake anaongea codes ni kama kuna kitu anakihisia ambacho kina uelekeo wa ukweli sababu alikuwa karibu na binti yake kuna mambo alishea nae thus hakutaka kufunguka sana.
Kifupi hakuna muhalifu smart popote duniani hata awe na akili au ujanja vipi ni lazima ataacha shaka. Technology na white magic haziongopi. Labda tu wahanga waamue tu kumuachia Mungu , KARMA
We nikki wa 2 tulia ntachomoa siri Ako na mama zuri hapa 🤣🤣Kwa hiyo huyu anajua tukio lilivyotokea?
We dogo tulia basi mbona una washwa hivyo wwHakuna ubuyu wowote anaandika ujinga tu na maswali ya kitoto
Polisi hawawezi kuweka wazi kila kitu...Lakini na polisi ya bongo majanga sana , siku 6 alizoishi baada kuchomwa sindano ya sumu na moto, polisi walitakiwa wameshashika baadhi ya watuhumiwa, ina maana walisubiria hadi afe ndio waanze uchunguzi??? inasikitisha sana.
We qma unavyoshadadia hivi unahusika sio 😶😒Kiasi gani acha ushamba mshana kazi imemalizika wanakunywa Hennessy na Kwa Taarifa zako ni professional na wanaua Kwa kulipa sio kwabTz hii nasemaje hawatakamatwa milele hata waje FBI
Shukrani brother [emoji1545]Mshana jr tayari umewapa vyombo vya ulinzi na usalama pa kuanzia.
Uzi huu ubaki hapa hapa mpaka tupate mrejesho nani alihusika na tukio hili maana linaumiza sana. Kongole Mshana jr kwa chapisho lako linalotutoa tongongotongo tusio na uwezo wa fikra pevu.