Una uhakika ganiAlikuwa ajatulia kiasi fulani na uzuri wake umesumbua wasukuma washamba na wenyeji
Kwahiyo labda ni wivu tu wenzako wamefanikiwa kuliko wewe au sio??Unataka nikwambie kuwa nimefanya nao kazi ndio uridhike
Nimedaka nao sana simu za call center chini ya CEO steve torode na manager Naimi,supervisor fred mwanry,
White magic ndio nini mkuu?Kiintelenjensia.
Hakuna muhalifu yeyeto Smart ni lazima ataacha tu alama pa kuanzia.
Watu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu.
Hapo pa kuanzia ni sehemu mbili tu ishu ya mapenzi au kazini. Tap call zake zote kuanzia siku ya tukio rudi nyuma hata miezi 3 ukizisikiliza zitakupa starting point na lazima utampata tu muuaji.
Ipo hivi
Kabla ya mauaji huwa ni lazima mawasiliano ya simu uwepo yakiwa na nia ya urafiki na sio hitimisho la mauaji, mauaji huja baada ya kushindwa kufikiana kwa muafaka.
Kosa kubwa la wauaji ushindwa kutambua back walitumia simu kuongea.
KWA hili unaweza tumia
1.Technologia ya mawasiliano kupitia call recording
2.White magic pia ukupa picha ya tukio zima.
Ukimsikiliza baba yake anaongea codes ni kama kuna kitu anakihisia ambacho kina uelekeo wa ukweli sababu alikuwa karibu na binti yake kuna mambo alishea nae thus hakutaka kufunguka sana.
Kifupi hakuna muhalifu smart popote duniani hata awe na akili au ujanja vipi ni lazima ataacha shaka.
Technology na white magic haziongopi. Labda tu wahanga waamue tu kumuachia Mungu , KARMA
Sahihi ila kama umesoma taarifa wanasema walimdunga kwanza sindano ya sumu badae kuhakikisha wanapoteza ushahidi wakamwasha moto na hii ndo ilomfanya ajitetee kwa kukimbiaHata "burn" ni moja ya common cause of acute kidney injury
Tupe sifa zakeMNAJUA HIII?View attachment 2549090
Mtaalamu wa akili ni mtu anayedai kutumia utambuzi wa ziada (ESP) kutambua taarifa iliyofichwa kutoka kwa hisi za kawaida, hasa zinazohusisha telepathy au clairvoyance, au ambaye anafanya vitendo ambavyo havielezeki na sheria za asili, kama vile psychokinesis au teleportation.White magic ndio nini mkuu?
So kwa lugha nyepesi ni ramli?Mtaalamu wa akili ni mtu anayedai kutumia utambuzi wa ziada (ESP) kutambua taarifa iliyofichwa kutoka kwa hisi za kawaida, hasa zinazohusisha telepathy au clairvoyance, au ambaye anafanya vitendo ambavyo havielezeki na sheria za asili, kama vile psychokinesis au teleportation.
Kwani mtu mwenye 70 hawezi kua na first born miaka 30?Unaongea kujifurahisha tu mimi nina data za uhakika niko group moja la wasap na dada yake tuko msibani hapa tulikuwa KKKT kanisani Kibaha muda si mrefu,mzee Towo anakaribia miaka 70 au zaidi awe na first born miaka 30???acha bangi
Wamefanikiwaje kwa wizi au,mimi naishi maisha ya kawaida tu niko kazini huu mwaka wa ishirini kwenye makampuni ya simuKwahiyo labda ni wivu tu wenzako wamefanikiwa kuliko wewe au sio??
Alafu nimeenda mpaka high court kutafuta kesi yake lakini sijaona. Unaweza tuwekea link yeyote inayoonyesha kashtakiwa?
Yan farao ndo alipigana na Mungu? Alf Mungu akateguliwa mguu au sijaelewa vizuri?Kamsome Farao kwenye Biblia na Kuna mwingine alipigana na Mungu akamtengua mguuuu


Nani?Kigogo ni miongoni mwao
DuYaani ana uhakika kwamba hawatashikwa huyu itakuwa mmoja wapo au amewahi kutoa uhai wa mtu si bure.
Bruh kufanya nao kazi haiondoi ukweli kwamba huyu mzee alikuwa na watoto wawili na tunu sio mmoja wapo watakuwa ni ndugu tuu wa ukooUnataka nikwambie kuwa nimefanya nao kazi ndio uridhike
Nimedaka nao sana simu za call center chini ya CEO steve torode na manager Naimi,supervisor fred mwanry,
Ni kweli huyu dada kuna kipindi huko nyuma alikuwa na kesi na bank ya barclays na ilikuwa inachapishwa hadi na magazeti nakumbukaKwahiyo labda ni wivu tu wenzako wamefanikiwa kuliko wewe au sio??
Alafu nimeenda mpaka high court kutafuta kesi yake lakini sijaona. Unaweza tuwekea link yeyote inayoonyesha kashtakiwa?
Disco 4 ni million 300?? Si unaona unavyojichanganya mwenyewe hapa.Wamefanikiwaje kwa wizi au,mimi naishi maisha ya kawaida tu niko kazini huu mwaka wa ishirini kwenye makampuni ya simu
Usije ukadhani kule kuna mishahara ya kufuru hivyo kununua discovery4 au range sio rahisi,ni magari ya jawaida tu yadiyozidi milioni 50 njoo kwenye parking za voda,tigo,airtel utaamini ninachosema,utasomesha watoto shule nzuri,utakula vizuri,utavaa vizuri ila gari ya milioni 300 thubutu,kuhusu hiyo kesi kutoonekana masijaka siwezi kuliongekea inategemea umetumia keyword gani kusearch