Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Kwa hiyo hayo yanafanyika kwenye huo msikiti wewe unaona ni sawa tu kisa hao ni waislam wenzako. Kwa nini nyie watu mnapenda sana kuunga mkono ugaidi.❓❗❓❗
Ugaidi gani umefanyika hapo! Karate ni ugaidi? Semeni tu mnatamani nchi iwe ya Kikristo na Wakristo watupu,jitahidini labda itafika hiyo siku.
 
Kuna upuuzi mwingine tunautaka wenyewe

Kuna ulazima gani wa kufundishana karate tena misikitini?

Wakati huo kushakuwa na dhana mbaya juu ya hilo

Kuna ulazima gani wa kuwaachisha watoto shule??
Suala la kuwaachisha watoto shule lipo kwa pande zote mbili hata mwezi january kule mkoani Ruvuma nimeona DC amekamata wazazi kadhaa ambao pia ni viongozi wa kanisa fulani kwa kosa hilo la kuwaachisha watoto shule lakini sikusikia ukitajwa ugaidi lakini matukio yanayowahusu Waislamu yanakuzwa sana hata ukitokea uhalifu wa kawaida lakini wahusika wakiwa ni Waislamu basi tukio hilo uzungumzwa katika sura tofauti kabisa.
Usichokijua kuna mkakati maalum wa kuwapaka matope waislamu na Uislamu kwa ujumla kwa lengo la kuutokomeza Uislamu na Waislamu unaosukumwa na chuki,
Ebu fikiria wale masheikh Wazanzibar waliokaa mahabusu kwa miaka nane kosa lilikuwa wakipinga Muungano lakini wakatengezewa kesi ya ugaidi na kuambiwa eti wao ndiyo walikuwa wakiendesha vitendo vya kuhalifu dhidi ya viongozi wa dini ya Kikristo.
Lakini naona wengi humu mnang'ang'ana kwamba hayo mafunzo ya karate yalikuwa yakitolewa msikitini sijui mmetoa wapi wakati habari inasema ni chuo(Madrasa) lakini kwa sababu ya chuki watu wapo tayari kuongopa ili kutia chumvi zaidi ili lengo litimie.
 
Suala la kuwaachisha watoto shule lipo kwa pande zote mbili hata mwezi january kule mkoani Ruvuma nimeona amekamata wazazi kadhaa ambao pia ni viongozi kanisa lao kwa kosa hilo hilo lakini sikusikia ukitatajwa ugaidi lakini matukio yanayowahusu Waislamu yanakuzwa sana hata ukitokea uhalifu wa kawaida lakini wahusika wakiwa ni Waislamu basi tukio hilo uzungumzwa katika sura tofauti kabisa.
Usichokijua kuna mkakati maalum wa kuwapaka matope waislamu na Uislamu kwa ujumla kwa lengo la kuutokomeza Uislamu na Waislamu unaosukumwa na chuki,ebu fikiria wale masheikh Wazanzibar waliokaa mahabusu kwa miaka nane kosa lilikuwa wakipinga Muungano lakini wakatengezewa kesi ya ugaidi na kuambiwa eti wao ndiyo walikuwa wakiendesha vitendo vya kuhalifu dhidi ya viongozi wa dini ya Kikristo.
Lakini naona wengi humu mnang'ang'ana kwamba hayo mafunzo ya karate yalikuwa msikitini sijui mmetoa wapi wakati habari inasema ni chuo(Madrasa) lakini kwa sababu ya chuki watu wapo tayari kuongopa ili kutia chumvi zaidi ili lengo litimie.
Umeandika utoto. Huo mkakati ni wa nani na nani kauanzisha? Hivi bro kile kilichokuwa kinafanyika Kibiti, Rufiji na kule Mtwara ni mkakati wa kuupaka tope uislam? Je kile kinachofanywa na Islamic state, janjaweed, boko haram na al qaida ni mkakati wa nani? Ebu bro tumia hiko kichwa kufikiria.
 
Umeandika utoto. Huo mkakati ni wa nani na nani kauanzisha? Hivi bro kile kilichokuwa kinafanyika Kibiti, Rufiji na kule Mtwara ni mkakati wa kuupaka tope uislam? Je kile kinachofanywa na Islamic state, janjaweed, boko haram na al qaida ni mkakati wa nani? Ebu bro tumia hiko kichwa kufikiria.
Unaamini kuna gaidi huko ulipopataja zaidi ya propaganda tu, gaidi akae mkuranga!
 
Huu ujinga na njama za kuupiga vita kwa kutumia vyombo vya serikali utaisha lini
Kila mnapoona madrasa mnazusha jambo.
Mara karate .mara ushoga..............
Mnataka uislamu usifundishwe ?
Toka utoto wangu nimeona madras na pamoja na Ukristo wangu nimekuwa nikienda madrasa wakati wa uyoto wangu kule Morogoro na wazazi hawakuwahi nikataza. Madrassa zipo nyingi tu Tanzania ila sio madrassa za kuwakatosha masomo watoto, sio za kukusanya watoto kutoka sehemu mbalimbali Tanzania na kuwafungia sehemu moja na wala sio madrasa za kufundiaha watoto mapigano mkuu.

Hiki usemacho na kilichofungiwa ni kile kilichozalisha boko haram na ule ujinga wa Kibiti na Mtwara. Hiko lazima kinyamazishwe kwa gharama yoyote. Kama nchi hatuwezi ruhusu mambo hayo kufanyika misikitini. Tanzania Mama yetu ni wa thamani kuliko dini mkuu wangu. Tambua hilo.
 
Tuweke udini pembeni

Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
Wewe unaandika unaanza kusema tuweke pembeni udini, hapa issue ni udini siyo hayo mafundisho. Hakuna mtu yeyote anakatazwa kujifunza hizo karate na judo. Hivyo vituo viko dunia nzima. Wewe ni mmoja wa hao Boko Haram na umeona tatizo ni udini sasa unataka kuweka pembeni ili kosa lisionekane.
 
Masta...
Mimi sina taarifa kamili ya hicho walichokuwa wanafundishwa hao vijana 70 wa Kiislam ambacho walioamua kufungia chuo chao wamekiona.

Ningefahamu hayo masomo yaliyoonekana ni itikadi kali ningeweza kujaribu kuchangia.
Naomba maoni yako juu ya Samia kuitwa vatican
 
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.

Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)

Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.

Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
JPM alifanikiwa kwa hili
 
Tuweke udini pembeni

Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
Shida inaanzia hapo ambapo hawa ndugu zetu hawakuweka udini pembeni, wao waliamua u dini wauendeshe sambamba na mafunzo ya itikadi kali plus karate. Wote tuna jua matokeo ya kuchanganya vitu hivyo kwenye imani/dini yoyote ile.
 
Ngosha...
YMCA Dar es Salaam walikuwa na mafunzo ya karate na vijana wengi walihitimu pale na kuipata mikanda.

Nadhani na Don Bosco walikuwa na mafunzo kama hayo.

Mimi siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe kuwa walikuwa wanataka kumpiga nani?
Mohamed Said una maoni gani kuhusu Mafunzo ya Itikadi Kali + Mbinu za Mauaji kwa watoto?
 
Uislamu una mafunzo ya ajabu sana. Dini na karate wapi na wapi?

Mungu gani anahitaji ujue karate?


ALLAH MUWEZA WA YOTE MWENYE NGUVU HAWEZI KUJIPIGANIA?
Kule Gaza wanadai Israeli imewapokonya ardhi ndio maana wanafanya ugaidi. Sasa huku Tanzania nani kawadhulumu ardhi yao? 🤔
 
Uislamu una mafunzo ya ajabu sana. Dini na karate wapi na wapi?

Mungu gani anahitaji ujue karate?


ALLAH MUWEZA WA YOTE MWENYE NGUVU HAWEZI KUJIPIGANIA?
Upuuzi mtupu na chuki za kipumbavu sasa kufundishwa ukakamavu tayari ni kutishia cheo chake,ukute yeye anakitambi badala aungane nao atoe hilo litumbo anawaona maadui.wacha Sukari na pressure ziwapukutishe wapuuzi hawa.
 
Naumia sana vijana kuendelea kudanganywa na haya makarate huku mtaani hakuna huo Ujinga wangekua busy na Elimu za kupatia Ajira nadhani tungekua na kizazi cha wasomi wengi sana kutoka jamii ya kiislamu shida ndugu zangu wao muda wote wanaamini wanaonewa na wanataka kujihami wakati hakuna vita mtoto anaeweza kutunza juzuu kadhaa huku kwenye Phyisics anatembea tu ila wao hawataki wapo busy na mambo ya hovyo hovyo...
 
Hamko serious. Mnafanya upotoshaji wa makusudi kugeneralize matendo ya watu wachache na Uislam kwa ujumla. Kuna matukio ya ajabu sana yanafanyika/yamefanyika na viongozi au waumini wa kikristu lakini kamwe hatuwezi sema ukristo ni tatizo.

Matatizo ya watu wachache hayaifanyi dini husika kua mbaya. Kuna waislam safi, kuna wakristu safi, kuna waislam wabaya na kuna wakristu wabaya.​
 
Tuweke udini pembeni

Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
Kwenye kila kijiji hapakosi wazee, hii point waende wakaifanyie kazi then wapeleke mrejesho
 
Ndani kuna gym moja matata kwa ajili ya watoto. Na watoto wanasema walikuwa wanafanya mazoezi ya hatari. Mwenye kituo anaongea kwa kujiamini anasema hajui kosa lake. Watoto wanaacha shule nchi nzima, wanaenda kujichimbia kufanya hayo mazoezi magumu.
Eti ndio Wanapata ilimu

Aisee ni noma mno. Nasubiria waje kujitetea.
Wanaacha shule nchi nzima du..kweli waislam na wakristo wa Tanzania ni maadui ila
hujifanya ndugu. Mazoezi ni kosa bongo haya fuga tanbi lako ushushie na manyama ya kondoo.
 
Back
Top Bottom