2013/14 sio kweli kuwa Crystal palace walizizika ndoto za kuwa bingwa Bali ni Chelsea Tena ile blunder ya Gerrard ya back pass ya Demba Ba hata Crystal palace angefungwa ubingwa ungeenda City tu

Unajua maana ya kuzika? Au umekuja kucomment tu hapa?

Hebu rudi kijijini kwenu wakakufundishe kati ya kufa na kuzika kipi kinakuja mwanzo then utapata majibu nani aliyeuwa ndoto za Ubingwa kati ya Chelsea na Crystal Palace na nani aliyekuja kuzika ndoto za Ubingwa kati ya Chelsea na Crystal Palace.
 
Sasa kama unashindwa kushinda mechi zako unataka abebe nani?
Au kipara alikuja kuwafunga kamba miguuni leo ๐Ÿ˜‚
Yani matakataka yanashindwa kushinda game zao kama sisi Chelsea tunavyoshinda afu eti yanakuja kulia Lia hapa wakati miaka 9 Yana EPL moja ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naona nyinyi mumekuwa Kitimoto mwenye mimba kabisa ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Ulizani kuongoza Ligi ni kuandika ujinga? Haya nanyi mumeshapakuliwa sasa! Njoo tena uandike upuuzi.
Naona matakataka munachambana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Niliposema haya maneno baada ya kupoteza mchezo wa leo watu walinicheka lakini mimi nasimamia haya maneno mpaka game ya mwisho ya 38.

Huu msimu tunabeba Kombe la EPL naendelea kusisitiza.

Saint Anne bado unawasiwasi na Ubingwa?
Mbele kipara? Ligi ishaisha brother, just wapresent tuu kombe kwa City

Sisi tujipange kwa msimu ujao with new manager with new vision

Aondoe matakataka ya klop yasiyojua kuua msimu vizuri kila mara

Yanachojua ni kutupa hopes tuu then dakika za mwisho yanatuumiza
 
Bwana si Liverpool pia have suffered fate tu kama ya Arsenal? Why isn't anyone talking about this farewell fraud? Mkue fair kiasi.
1713156225053.jpg
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mbele kipara? Ligi ishaisha brother, just wapresent tuu kombe kwa City

Sisi tujipange kwa msimu ujao with new manager with new vision

Aondoe matakataka ya klop yasiyojua kuua msimu vizuri kila mara

Yanachojua ni kutupa hopes tuu then dakika za mwisho yanatuumiza

It's not over until it's over

Nitaweka imani ya Ubingwa till the last drop as long as mathematically haijawa impossible.
 
Back
Top Bottom