Nishawahi kusema hapa , Diazi akili yake haipo haraka kama miguu yake.
Diazi ile ni copy kabisa ya Raheem Sterling, tofauti yao ni mmoja kasuka dread huku huyu mwingine amenyoa punk.
Ila wanangu wenyewe kuku vishingo msijali sana mechi inayofata ya Epl hapahapa Old Trafford tutawapea points3 muongoze ligi, huku mamaCita na Arsenyeto wakipasuana wao kwa wao.
 
Hayo ni maneno yako...Manunu ni Bora afungwe na City akachukue ndoo kuliko Livakuku...yaani Livakuku ugomvi wao na Manunu ni mkubwa sana...mechi ya Ligi Livakuku ahesabu Hana chake
 
Top 4 hamuitaki? Maana mtamkamia huyu mshikaji wetu Livakuku. Halafu Mamacita akilegea kidogo tu, wababe wa hii ligi, ze ganaz tunamuua. Ubingwa unasepa North London hivi hivi.
Diazi ile ni copy kabisa ya Raheem Sterling, tofauti yao ni mmoja kasuka dread huku huyu mwingine amenyoa punk.
Ila wanangu wenyewe kuku vishingo msijali sana mechi inayofata ya Epl hapahapa Old Trafford tutawapea points3 muongoze ligi, huku mamaCita na Arsenyeto wakipasuana wao kwa wao.
 
Mnafungwa na timu inacheza hivi
20240317_191336.jpg
 
Bruno Fernandes playing CB for 30 mins.
Antony playing LB.
Garnacho sprinting/ working for 125 mins straight.
Amad Diallo brilliant cameo and last min winner.
Dalot class all match.
Great Maguire cameo.
Onana with top saves.

What a game, and fair play to all those players who stepped up and gave it everything in extra time.
IMG_20240318_084333.jpg
 
Amad tracking back played big part in 3rd goal and interception on Elliott started the 4th goal. He and Garnacho stood out for me today, they were giving everything. Antony also impressive at LB and RW, got to give credit where it is due.
 
Back
Top Bottom