This will go straight into Liverpool folklore, the day a load of kids beat a billion-pound team from London.

One or two of them will become Liverpool legends; most won’t, and some might be playing in the fourth tier in 2026. But however life turns out, they’ll all be there for the reunion in 2049. This game bonds them forever.
 
Ina maana kocha hatakuwemo kwenye Transfer Committee?
Atakuwemo lakini sio mwenye say ya mwisho kama ilvyo sasa...
Kwa sasa every move goes through Klopp asserting yes or no ni hatari sana maana ni kuingilia majukumu ya wengine.
Kila mmoja afanye majukumu yake.
Unajua Klopp alifika mahala akijipa Mr Liverpool title kwamba kila jambo linakwenada anavyotoka yeye wengine wafuate matokeo wale waliwmpa kikosi kwa kuchakata data Edwards na Ward nk akaona hawana jipya wakasepa akabaki anaedesha the show pale Anfied...ukisoma between the lines Lijnders anasema walijua June 2023 walijua fika kwamba huu ndio msimu wao wa mwisho Liverpool na wakatoa taarifa klabuni November 2023 wakawaambia FSG wanasepa.. Kuna behind the scenes za kutosha ambazo zimetufikisha hapa

YNWA
 
Jana nilivyomuona tu karius vs asses… nikaachana na kuangalia mpira

Atakua ma majini makali sana yule
Jamaa
Kimeo Karius ila duh Klopp alimpa nafasi akamtetea lakin mwishowe akakumbaliana na Gary Neville aliesema Liverpool can't win any trophy kwa makipa Simon na Karius.

YNWA
 
Kwa sasa Wembley is Red hatubahatishi.

YNWA
20240225_213251.jpg
 
Back
Top Bottom