Injuries za Wachezaji wa kikosi cha kwanza 😢
1) Alison
2) TAA
3) Matip
4) Thiago
5) Jones
6) Szobo
7) Salah
8) Nunez
9) Jota

Kiukweli naanza kukata kukata Tamaa ya Ubingwa! Sio jambo rahisi kupoteza Wachezaji 9 wa kikosi cha kwanza.

Halafu tuna Fainali ya Carabao na Chelsea bila ya wachezaji wetu muhimu 😩
I still wonder kwanini mna doubt hawa backup players tulio nao. Wameshinda game karibu zote za muhimu. FA cup third round vs Arsenal, last weekend vs Brentford na nyingine nyingi.

Still tulipoteza kwa Arsenal, USG, Spurs na Toulouse tukiwa na kikosi ambacho ndio mnaamini ndio cha ushindi.

Let's trust these players wana uwezo.
 
FYI Liverpool tunacheza PL vs Luton leo na hiyo weekend nyie mtakapocheza basi hata mkishinda still mtaendelea kubakia huko huko mlipo maana mtaikuta Liverpool tayari ina points 60 kabla mcheze na Newcastle ambao sidhani kama watawaacha salama.
Arteta ka twist mfumo kiasi namna anavyomtumia Kapteni wake inawapa room kubwa sana ku close channels na bila kua na namba 9 kwa sasa vijana wanagawana majukumu kufunga.. Kind of Liverpool kabla ya kubadilisha mfumo kiasi na kusajili Darwin..wako real compact as 1st line of defense inaanza kwa akina Saka pale mbele.

YNWA
 
Liverpool have more players with 10+ goals across all competitions this season than any other team in top-flight European football:

◉ Mohamed Salah⁠
◉ Darwin Núñez⁠
◉ Diogo Jota⁠
◉ Cody Gakpo⁠
◉ Luis Díaz

A famous five.

IMG-20240222-WA0003.jpg
 
Let's hope katika mechi nne tano hapo mbele kuna tacticians wanaweza ku undo huo mfumo. 🤞
 
I still wonder kwanini mna doubt hawa backup players tulio nao. Wameshinda game karibu zote za muhimu. FA cup third round vs Arsenal, last weekend vs Brentford na nyingine nyingi.

Still tulipoteza kwa Arsenal, USG, Spurs na Toulouse tukiwa na kikosi ambacho ndio mnaamini ndio cha ushindi.

Let's trust these players wana uwezo.

Unamaanisha tulikuwa tunashinda bila ya hao kina Jota, Nunez ama?

Kipindi cha hao Wachezaji wengine wakiwa injury tulicheza game 2 tu za serious za Ligi ambazo ni dhidi ya Chelsea na Arsenal.

Tumeshinda 1 tu dhidi ya Chelsea
Tumepigwa na Arsenal

Tumefunga Vibonde na mechi za Karabao.
Huoni hapo kuwa ni Tatizo?

Sio kwamba hatuamini lakini kama hao Wachezaji 9 watakaa juu zaidi ya mwezi mmoja tutakuwa katika wakati mgumu kwasababu hatutakuwa na Rotation yeyote manake akiumia mchezaji let's Diaz au Gapko tumekwisha.

Nadhani umeona subs za jana! Tutakuja kuchezesha U20.

Hivyo tusichukulie mambo Simple huwezi kumfunga Man City au Manure pale OT au Aston Villa pale Villa Park kwa timu ya kuungaunga bila ya Senior players.

Tuzungumze kimpira sio kutegemea miujiza kwenye open play.
 
Liverpool have more players with 10+ goals across all competitions this season than any other team in top-flight European football:

◉ Mohamed Salah⁠
◉ Darwin Núñez⁠
◉ Diogo Jota⁠
◉ Cody Gakpo⁠
◉ Luis Díaz

A famous five.

View attachment 2911998

Hapo Watatu tayari ni injuries
1) Salah 19
2) Jota 14
3) Nunez 13

Yani tumeshazipoteza goli 46 hapo.
 
I was impressed by Elliott yesterday ila nadhani inabid pale mbele wawe wanabadilishana position maana 1st half Diaz alifichwa Sana na yule dogo Rasta (mengi)....Diaz awe anaenda kwa Elliott, Elliott acheze kati kama false 9 na gakpo akae kwa Diaz kuwachanganya wapinzani
 
Unamaanisha tulikuwa tunashinda bila ya hao kina Jota, Nunez ama?

Kipindi cha hao Wachezaji wengine wakiwa injury tulicheza game 2 tu za serious za Ligi ambazo ni dhidi ya Chelsea na Arsenal.

Tumeshinda 1 tu dhidi ya Chelsea
Tumepigwa na Arsenal

Tumefunga Vibonde na mechi za Karabao.
Huoni hapo kuwa ni Tatizo?

Sio kwamba hatuamini lakini kama hao Wachezaji 9 watakaa juu zaidi ya mwezi mmoja tutakuwa katika wakati mgumu kwasababu hatutakuwa na Rotation yeyote manake akiumia mchezaji let's Diaz au Gapko tumekwisha.

Nadhani umeona subs za jana! Tutakuja kuchezesha U20.

Hivyo tusichukulie mambo Simple huwezi kumfunga Man City au Manure pale OT au Aston Villa pale Villa Park kwa timu ya kuungaunga bila ya Senior players.

Tuzungumze kimpira sio kutegemea miujiza kwenye open play.
Upo sawa ila ninachomaanisha ni kuwa kwakuwa tayari hao washakuwa injured option iliyopo ni kuwaamini na kuwa support hao back ups.
 
Back
Top Bottom