Hivi hii trend ya kila mchezaji kutaka kufunga hawa vijana wameitoa wapi.. Lazima kuwe na mipango kufungua njia lakin naona Jones, Domy, wao ni mashuti muda wowote aisee hapan utulivu kuweka mipango kwa uchezaji huu sare inatuita na leo...
Lazima Klopp awaambia kufunga ndio lakini mpaka pale ni sure shot...
Trent nae pasi kipofu leo ameanza tena mara 2 karibu atuchome bora VVD kaona hii hapana amemstua azidishe umakini...
Hii gemu wala haihitaji hii kasi ya 4g kwa kua hawa Newcastle wameshajikumbali...
Lazima tuwe watulivu sio hizi mbio za lu paniki kushoto kulia...
Salah na Nunez waongoze umakini kumalizia..

YNWA
Thank you!

Naona leadership haiko sawa uwanjani

Hawaangaliani positions

Na sloboszlai yuko off kabisa
 
Aisee.... Liverpool kwenye hili Dirisha Dogo kama kweli tunautaka Ubingwa tutafute striker mzuri, huyu Nunez siyo kabisa nafasi Kumi anapata Moja, hivi hivi hatuwez fika.
 
1704145026386.gif
 
Aisee.... Liverpool kwenye hili Dirisha Dogo kama kweli tunautaka Ubingwa tutafute striker mzuri, huyu Nunez siyo kabisa nafasi Kumi anapata Moja, hivi hivi hatuwez fika.
Nunez ni average player hamna striker hapo anavitu vya kujifunza kutoka kwa Jota. Kunagoli Gakpo kafunga angekuwa ni yeye angebutua tu hana skills kabisa yeye anacho waza ni kufumania nyavu tu
 
Jones has been Fabolous tuombe Mungu wasimuumize Tena maana injini yake ni ya Diesel Inachelewa kuchanganya

Diogo Jota that's someones you can count on (mchezaji ambaye ukimuona benchi wakati mambo ni mabovu kidogo unapata tumaini)he is giving Dirk kuyt vibes

Diaz had ana amazing performance Leo

Ndugu yetu Nunez good runs shida Iko palepale beef lake na "Target" halijawahi kuisha


Salah to be honest tutuammiss Egyptian King.....mm Dua zangu Egypt atupwe nje kwenye makund
 
Back
Top Bottom