amna timu hapa bahati yenu kikosi kama kizima majeruhi mmecheza na watoto leo.

nunez
20230307_202656.jpg
 
tunatakiwa tuwe makini Sana mechi ya kesho tusiingie tukiwa overconfident maana Kuna kombe la Ligi tulishapoteza kwa kudraw na Man u wakti wakiwa wako hoi na sisi tulikuwa vizuri Sana(ilikuwa OT)

Game ya arsenal nayo tunatakiwa tuwe makini kupitiliza tukishinda hiyo the future is Bright....Mungu atatupitisha January salama kama tukisajili
said it.....we lost two easy points

hiyo ya arsenal nayo ni a must win game maana unai naye hana urafiki na sisi kabisa maadui wanakuwa wengi tu

-Mwanangu szobo sijui wamempiga misumari aisee
 
Back
Top Bottom