tunatakiwa tuwe makini Sana mechi ya kesho tusiingie tukiwa overconfident maana Kuna kombe la Ligi tulishapoteza kwa kudraw na Man u wakti wakiwa wako hoi na sisi tulikuwa vizuri Sana(ilikuwa OT)

Game ya arsenal nayo tunatakiwa tuwe makini kupitiliza tukishinda hiyo the future is Bright....Mungu atatupitisha January salama kama tukisajili
 
Anfield pamoto mkuu,hao watapiga kelele lakini sio hapo anfield.msimu huu mpaka sasa tumeshinda mechi 7 zote na wastani wa goli 3.tunajua mpira unadunda sio hapo anfield ,kuna kipindi tulikaa miaka 4 hatujafungwa hapo.
 
Mechi tatu ngumu ndani ya siku 7..
Nna wasiwasi ya arsenal tutadondosha point
Umeanza kuangalia mechi za liverpool lini mkuu? Arsenal ana mwaka wa 12 hajawahi kutufunga anfield pale,msimu uliopita walikuwa na nafasi hiyo wameshindwa kutufunga licha ya kuongoza kipindi cha kwanza goli 2 bila,hizo timu kubwa zote hazina ujanja pale anfield,aston villa watu wanashangaa tu ,tulichomfanya ,anfield tumeshinda mechi7 zote mpaka sasa.
Hata wapinzani wanapaogopa kwa sasa.
 
Wanao mfananisha Halland na Nunez, kiukweli usimfananishe Halland na vitu vya kijinga
 
Umeanza kuangalia mechi za liverpool lini mkuu? Arsenal ana mwaka wa 12 hajawahi kutufunga anfield pale,msimu uliopita walikuwa na nafasi hiyo wameshindwa kutufunga licha ya kuongoza kipindi cha kwanza goli 2 bila,hizo timu kubwa zote hazina ujanja pale anfield,aston villa watu wanashangaa tu ,tulichomfanya ,anfield tumeshinda mechi7 zote mpaka sasa.
Hata wapinzani wanapaogopa kwa sasa.
Kudondosha point sio lazima kufungwa...hata draws ni kudondosha point...
Kwamba arsenal hawezi force hata draw Kwa wachezaji ambao hawaja recover ..masaa 72 kama inavyotakiwa?
 
Oyaaa nyie livakuku. Kule kwa manyumbu wanasema eti leo watawakanyaga na kuwagaragaza. Wanasema eti kuku hajawahi kumzidi nyumbu na eti leo watawaonyesha kuwa nyie ni kideri squad tu na hamna lolote.
 
View attachment 2843693
Ikiwa wewe ni mtu wa mpira utakuwa umeelewa jambo hapa..!!! Ni vile tu mmeamua kuuchagua upande.

Stats are not about numbers, you've to interpret them.
- Man City this season wekuwa wakisuasua you known it, right? This means Halaand is out of form this season he's struggling alot lakini hata hivyo ana best Conversion rate compared to Nunez ila umeamua kuleta Stats zile zinazofavour ulichokitaka.

Why usilete goal scored ya Nunuze vs Halaand?

So, poor performance ya Halaand haiwezi kuhalalisha tukubaliane na ubovu wa Nunez.

Ni same na kusema Onana mbovu hivyo na sisi hatupaswi kulalamika Alisson mbovu si ndiye fellow Kop?
 
Oyaaa nyie livakuku. Kule kwa manyumbu wanasema eti leo watawakanyaga na kuwagaragaza. Wanasema eti kuku hajawahi kumzidi nyumbu na eti leo watawaonyesha kuwa nyie ni kideri squad tu na hamna lolote.

Boss unacheza na Brighton usije ukajisahau hata dakika 1 utakuja kulia
 
Ifike wakati wachezaji wanaokula mshahara wa bure tuwatimue

Thiago nadhani umri unachangia hawezi kucheza mechi 20 mfululizo ataumia tu kidogo then atacheza kidogo aachwe ..!

Matip muda wa kumtema umefika mwishoni mwa msimu aachwe ..

Nunez asipojiangalia tutafuteni mwengine
kuwatimua ni kuvunja mkataba nao

unapaswa ujipange kuwalipa pia na unawajua FSG wetu
 
Possible lineup
Screenshot_20231217-182517.jpg
 
Back
Top Bottom