MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,067
- 15,697
Tungempata yule KEITA wa LEizipig ingekuwa poa kuliko huyu salah ambaye mpira ulimshinda hapo darajani.
Ingawa Keita ya Lazio nae mzuri but namkubali huyu wa leizipg maana ana jicho zuri la goli ma stamina za ligi ya germany itamsaidia EPL
Mpira haukumshinda Salah pale chelsea. Mourinho hakumpa nafasi. same kwa kina Lukaku, De Bruyne and even Matic (kabla hawajamnunua tena).
ni sawa useme mpira umemshinda Michy pale chelsea. hajapewa nafasi kabisa this season but ni potential kubwa.
BTW Salah ni winger, na tunahitaji sana RW, na anafit well kwenye set-up play ya Klopp..
£35m is nothing kwa mchezaji aina ya Salah.