Changamoto ni kwamba hakuna ma winga wengi wazuri wa upande wa kulia sokoni...yupo yule dogo wa Real Sociedad anaitwa Takefusa Kubo tuliwai kumtazama mara kadhaa kama mridhi wa Salah. Japo kwa sasa hana magori Wala assist nyingi angetufaa. Hata huyo Salah hakutoka Italy akiwa finished product mbali chini ya Klopp alipewa mfumo na akaelewa na kuperfom wonders pia yumo dogo Mane wa Wolves Hawa ni dynamic players kwa bei rafiki... Barcola naona Arsenal wanamtolea macho sanaaa. Muda utasema.
Nadhani huyu wa RB kwa kweli Ile bei ipo juu ukizingatia pia tunahitaji kununua bei wa kulia mmoja na DM mmoja pale kushoto Tsimakas karejea kutoka mkopo.
YNWA