Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwenye mpira nako kuna siasa

Yule Kichwa amefukuzwa ila kwa vile alishabahatisha kombe moja pale Liverpool wakaamua tu kumuondosha kwa heshima.

Just walimwita wakamwambia wewe kichwa sisi hatuwezi kuendelea tena na wewe hivyo kwa heshima tu andika barua ya kujifanya unajiuzulu malipo ya mkataba wako tutakulipa kama kawaida.
 
Amani sasa imerudi kikamilifu aisee! Kocha misimu miwili mpaka leo hajulikani anafundisha mpira gani yaani kila kombe tunalogusa tunatolewa
 
Kichwa viringo haliko kama makocha wengine, lenyewe kila game lazima liwaanzisha ma Dutch wenzie, bora limeondoka.
 
Eti wewe kichwa 🀣🀣🀣
 
Leta Kocha wa Viwango au Experienced Top Couch tubebe ubingwa wa EPL next season itakapo commence.
 
Kama vile Andoni Iraola amepewa msimu mmoja wa 2026 - 2027 hivi

Ngoja tusubiri tuone ni nini atatupatia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…