King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,980
- 4,942
Ety eeeh 😁Safi sana
Vipigo viendelee Hadi hili takataka liondoke Anfield
Ety eeeh 😁Safi sana
Vipigo viendelee Hadi hili takataka liondoke Anfield
😁😁😁😁Machawa wake
Njooni mmtetee Sasa
Nyie si ndio wataalam wa boli
😆Ety eeeh 😁
Mmh UEFA? Hata kama tuna DNA nayo km alivyo Madrid, Hapana!! Japo nasoma mitandaoni naona baadhi wachambuzi soka Ulaya wanasema Liver ni favorites kushinda uefaSema Kichwa Mviringo huu Msimu ana nafasi ya kubeba UCL muhimu atulize akili tu lakini end of May tunaweza kurudi na furaha hapa
Na akikomaa anaweza, na uzuri ana mechi na rival wake wa top4 man Utd na chelseaKichwa mviringo anaitafuta Top 4
Acha tutupe porini, ili kunguru wale.Dah watu humu wako wapi 😂
Waungwana tumeleta maiti iliyouawa dkk za mwishoni 😂
Shimo liko wapi tutupe huu mzoga?
Hakubahatisha kuchukua EPL, ile ilikuwa n nguvu ya Klopp bado ilikuwa kwa wachezajiSasa dhahiri hamna kocha humo
Alibahatisha tu EPL hii aliyo chukua
Atuachie team yetu
Hachukui ndoo yyt tena