999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 917
- 1,705
Tubane mbupu sasa
Duuh jini ilo1-2
Haaland
Mna mbupu za kubana, mnatatuliwa tu kiboya 😅🤣🤣🤣Tubane mbupu sasa
Msimu uliopita alikuwa anabebwa na mzimu wa kloppHuyu kichwa anainajisi Anfield 🚮🚮🚮🚮
Safi sana
Anfield imekuwa kama uwanja wa SingeliHuyu kichwa anainajisi Anfield 🚮🚮🚮🚮
Ety eeeh 😁Safi sana
Vipigo viendelee Hadi hili takataka liondoke Anfield