Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,259
Mona huyoWale wa Msimu uliopita waliokuwa wanatuletea Makala za uchambuzi za mbinu za Slot kwa hiyo walikuwa wakitudangnya?
Mbona sasa hivi hawatuandikii tena hizo Makala za ufundi wa Slot?
Unakuta amepanga maneno kwenye Aya
Utasema kweli😂😂😂😂