King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,980
- 4,942
Niache mimi
Kuweni wavumilivu maana huyu shaulini monk (slot) aliwapa EPL msimu ulioisha kwanini afukuzwe unataka familiar yake ikake wapi😁
Ten Hag hana kazi kwa sasa, chukueni yule kuliko kichwa mviringo
Kinyonge sana 😊 😃Niache mimi
Mpira ni kharamu
Niache mimi
Mpira ni kharamu
Tupo bize sisi,Hasa Huu mwezi Mtukufu na Mfungo wa Kwaresma hatutakiwi kupoteza muda kwenye mipira.
Na wewe unaamini ni yeye alitupa?Kuweni wavumilivu maana huyu shaulini monk (slot) aliwapa EPL msimu ulioisha kwanini afukuzwe unataka familiar yake ikake wapi😁
Swaumu kali MkuuKinyonge sana 😊 😃
Mi sijui anakuja naniTen Hag hana kazi kwa sasa, chukueni yule kuliko kichwa mviringo
Sawa ustadhatiTupo bize sisi,
Swaumu kali
Mambo ya mpira ni kunyume na amri za mwenyezi Mungu .
Sie tunajua ubingwa kawapa monkNa wewe unaamini ni yeye alitupa?
Ile ni nguvu ya Klopp
Jamaa alikuwa tayari timu ipo tayari kwenye morali kubeba vikombe vyote..
Kwa ujinga wake akachukua kimoja .
Aslam aleiykum warahmatulah wabarakaqSawa ustadhati
Timu iliachwa tayari kwa ubingwaSie tunajua ubingwa kawapa monk
Hamna kocha humoIla mpira ni nyoko aisee, humu ndani kulikua na english nyingi sana, ila sasa wote wamekimbia jukwaa, kichwa mviringo bado yupo sana maana unamfukazaje kocha aliyewapa EPL msimu wake wa kwanza tu???