Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 209
- 464
Kazi ipo, hata game ya Galatasary itakuwa ni kama fainali.
Kuwa Legend wa club yako haimanishi ukirudi klabuni mwako utakuwa kocha Bora wa makombe, hizo walibahatisha akina Zidane tu akizungukwa na "Magalactos" akina Bale,CR7,Modric,Kroos na Benzema... Mimi hata Xabi Alonso Sina Imani nae kiviiile, sana sana tu achoweza ni kumchezesha vyema kinda wake Florian "Vitziii"....Hivi kwani haiwezekani Klopp akarudi tena wakati tunasubiri kujipanga mara nyingine?
Heri hata kocha angekuwa Gerrard
Nilisema Gerrard mkanipopoa kuwa siyo kocha
Hivi Gerrard na huyu kocha wenu wa Sasa, nani ana afadhali?
Hatimaye kipara managed to escape suction. He live to fight another day 😁Mechi ya kumfukuzisha kipara hii hapa.
🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠Hahaha Miss Liverpool mambo imekua taiti kwa Slot...Captain Marvelous
Uko wapi Mkuu?
Mlivyokuwa mnamchambua jamaa Slot mara sijui Edward nani
Aisee
Jamaa wametuingiza chaka kabisa
Heri angebakia Klopp.
Klopp asingeua timu kiasi hiki.
🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠Hahaha Miss Liverpool mambo imekua taiti kwa Slot...
Tujipange kwa msimu ujao huu ni foregone conclusion
YNWA
Unaleta fito ugenini na huku mnanyooshwaNawapongeza 😂
Kuliko huyu KiparaKuwa Legend wa club yako haimanishi ukirudi klabuni mwako utakuwa kocha Bora wa makombe, hizo walibahatisha akina Zidane tu akizungukwa na "Magalactos" akina Bale,CR7,Modric,Kroos na Benzema... Mimi hata Xabi Alonso Sina Imani nae kiviiile, sana sana tu achoweza ni kumchezesha vyema kinda wake Florian "Vitziii"....
Lampard legend Chelsea na Ole Guna Soljaker si tuliwaona hapo