Najua hujamaanisha.Golden generation ya Liverpool ime last only four years 🤣🤣🤣
Hamtainuka Tena karibuni
dude Manchester United linainuka 😤
Brightons akina MoNA wamepotea wametuacha wakiwa! Huyu Slot ni slot kweli kweli! Sijui kwa nini hawamfukuzi? Wachezaji wamemwekea mgomo baridi!Na kiingereza hamuongei tena
Kwani wewe nawe utaenda wapi? EPL huchukui!Nyie wajinga kweli
Sawa utachukua weweKwani wewe nawe utaenda wapi? EPL huchukui!
Mmegongwa!Sawa utachukua wewe