Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

huyu kocha kuna namna anashindwa kuipanga timu yake, ni kama hajui yupi anafaa wapi......

angalia namna anamtumia chiessa, wirtz, hugo, szobo.....

badala ya 433 yeye kaja na mfumo wake wa ajabu,.....

best mido wetu ni szobo, yeye anamtumia rb, kwanini hataki kujaribu front 3 ya hugo, wirtz na salah/chiessa,..... middle ya grav, szobo na marca/jones, kwanini anang'ang'ana na kina gapco na isak?

majibu ni mawili, either hawa wachezaji walinunuliwa bila ridhaa yake au aliwanunua bila kujua atawatumiaje!

either way, huwezi poteza game 6 kati ya 7 at liverpool na ukasema wewe ni kocha!... huyu bwana toka alipokaribia kutangaza ubingwa, akaanzwa kutweek mfumo alioukuta wa klop, dalili zikawa wazi anachofanya hatafanikiwa, maana tulipoteana mwishoni mwa last season, na mpaka leo hajarecover!

he will definitely be sacked, sidhan kama atamaliza top 4 akiachwa huyu!
 
Kocha apewe muda wa miaka 5 mingine ni mzuri sana. Yupo smart. Ametupa ubigwa. Na this time anatupa kwa mara ya pili tena.

Sasa mmekuwa wagawa uroda tu kila timu mnampa yote adi raha
 
huyu kocha kuna namna anashindwa kuipanga timu yake, ni kama hajui yupi anafaa wapi......

angalia namna anamtumia chiessa, wirtz, hugo, szobo.....

badala ya 433 yeye kaja na mfumo wake wa ajabu,.....

best mido wetu ni szobo, yeye anamtumia rb, kwanini hataki kujaribu front 3 ya hugo, wirtz na salah/chiessa,..... middle ya grav, szobo na marca/jones, kwanini anang'ang'ana na kina gapco na isak?

majibu ni mawili, either hawa wachezaji walinunuliwa bila ridhaa yake au aliwanunua bila kujua atawatumiaje!

either way, huwezi poteza game 6 kati ya 7 at liverpool na ukasema wewe ni kocha!... huyu bwana toka alipokaribia kutangaza ubingwa, akaanzwa kutweek mfumo alioukuta wa klop, dalili zikawa wazi anachofanya hatafanikiwa, maana tulipoteana mwishoni mwa last season, na mpaka leo hajarecover!

he will definitely be sacked, sidhan kama atamaliza top 4 akiachwa huyu!
Krismas itamkuta kwao huyu!
 
Vingereza dot com wananyenyendwa bila kukicha. Jana pakty 4 zimeisha.

Mnapigwa mpakaa mnachakaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom